Makapuku Forum

Makapuku Forum

Duuh kumbe utani wa humu unawaumiza watu
Jamani hapa ni stress free sio siasa hivyo utani ni kawaida tu

Mfano Husna & Obe ni couple ya humu ila mimi kila siku nataniana na Husna hadi mtu anaweza kuhisi nina uhusiano nae ila la hasha ni utani tu

Hivyo wadau msiwe mnamind mambo madogo tu pia utani wetu unaishia kwenye thread hii tu tukikutana kwingine hatutaniani kivile na kila mtu yupo huru humu au nje ya thread hivyo ya humu huishia humu

Niwatakie Mchana Mwema
..........
VP?!


Kuna something happened??!!


We mi nakupendea hizo supu za bata tu ila moyo wangu uko kwa obe


N.b kesho chinja bata MTU wangu nitakuja kumtengeneza
 
EUFA SUPER CUP
8a8eea88504d10844c4f0cc6b19e0159.jpg
a70100cc8a243d309d08c401fd99ab31.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom