Makapuku Forum

Makapuku Forum

edb4868e671b5c4574fc248d9e569b20.jpg
 
10/Sir Isaac Newton
adcd77e3fe811c86db80555837d376aa.jpg
e7f0c732cc89c713d692100ea16602f6.jpg
b52ee3ec548e9584ae8061b430e24dff.jpg

Alizaliwa mwaka 1642 na kufariki dunia mwaka 1727
Kama ulisoma sayansi walau kidato cha pili tu halafu humjui huyu mtu basi ulienda shule kusomea ujinga badala ya kuondoa ujinga
Ameandikwa kwebye vitabu karibia 500,000 na inakadiriwa umaarufu wake hautaweza kupitwa na mtu landa baada ya miaka zaidi ya 250
Jamaa ni mfalme wa Mechanical Physics na umaarifu wake mkubwa upo kwenye Newton's Law of Motion wala sikusimulii inasemaje kama ulikimbia umande shauri yako
Pia jamaa ni noma linapokuja suala la Principles of Natural Philosophy

Kwa mwezi anafuatiliwa (searched) na watu zaidi ya X 2,000,000
..........
Jamaa namkumbuka kichiz ni genious.. ana mchango mkubwa katika physics na mathematics, kusahaulika ni ngumu cz utakachotaka kukifanya lazima utapita katika njia yake kwa namna moja au nyingine utarecall either kanuni hata laws.. 100% amenifanya niipende sana physics..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6/Paul The Apostle of Tarsus
e29c0db4c11339ac7f1c70773115daa5.jpg
f2b01f44bb6a2189b15aa7c6f9ec3bde.jpg
5e4345de3e2b93fc85a7ab5a3b93ec0b.jpg
Alizaliwa mwaka 5C na kufa 67 AD
Kwa Wakristo anajulikana kama Mtume Paulo na ndiye mtume aliyeipigania dini kwa kuweka miongozo na kanuni tunazozifuata hadi hii leo
Msishangae kwa Wakatoliki jina Paulo ni maarufu hata kwa Mapapa linapendwa zaidi
Alitoa barua/waraka 13 kwa wakristo wa madhebu yote hivyo makanisa yote yanamfahamu huyu mtu
Anajulikana kwa wakristo kama mtu wa kwanza kujua kuandika
Kaandikwa kwenye vitbu takribani 7,000,000

Kwa mwezi anatafuta takribani X 4,000,000
.................... ...
Zitaendelea baadaye
Nasikiaga kuna papa paul wa 1 sijui wa 6.. huyu nadhan anakuwa wa 0

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom