shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Nzuri kabisa, umeenda njiroZa mapumziko wapendwa
Nzuri kabisa, umeenda njiroZa mapumziko wapendwa
MhengaNna 30 kmili
Sijambo kaka yangu
AiseeeNna 30 kmili
Sijambo kaka yangu
7/John F Kennedy![]()
![]()
Alizaliwa mwaka 1917 na kuuawa mwaka 1963 akiwa madarakani
Ni maarufu kwa jona la JFK ila kando yake pia kuna RFK{Robert} na EFK(Edward} bila kumsahau RFK Jr wote hawa wanatokea kwenye ukoo unaoaminika kuwa na nuksi zaidi duniani kwani ukoo wao umeandamwa na vifo tatanishi
Inaaminika aliuawa n CIA/FBI kutokana na kutopendezwa nae
Ndiye Rais aliyeanzisha vita ya Vietnam
Anaaminika kuwa Rais bishoo na mpenda wanawake ...yeye na akina RFK na EFK wote wanaaminika kumlalia Marilyn Monroe na inaaminika wanahusika na kifo chake kupitia CIA/FBI
Alikaa madarakani kuanzia 1861 hadi 1963
Yaani siku 1,036
.....
6/Millard Fillmore![]()
Alizaliwa mwaka 1800 na kufariki dunia 1874![]()
Huyu nae alimalizia muhula wa Rais aliyeachia ngazi sijui alifariki (Taylor)
Akajotahidi kukijenga chama kwa njia sahihi na kufanikiwa kuifanya amani na utulivu kuwa nguzo kuu ya kudumisha umoja na baadaye kurudi tena kilingeni
Aliingoza Marekani kuanzia mwaka 1850 hadi 1853
Yaani siku 969
..............................
Zitaendelea baadaye

Mnaona gereeHii tabia ya Thimbwa kwenda uwanja wa Taifa kulishana keki ipigwe marufuku![]()
Hivi jengo lao halitoshi
....
Ndio NdioTeam wekundu eeh?
Sawa babuBabu huwa hatekwi wala hajiteki... Ni mjanja kuliko Mr X.... Sio kwa mengine lakiniNaenda porini kuchimba dawa
![]()
Leo mai dear sio pakwenda aisee ntaenda kesho ama kesho kutwa usafiri ni taabu ukifika pale getini ndo kabisaaaaNzuri kabisa, umeenda njiro
NambieMhenga
Aisee, ila arusha nane nane wanapenda sanaLeo mai dear sio pakwenda aisee ntaenda kesho ama kesho kutwa usafiri ni taabu ukifika pale getini ndo kabisaaaa
Ni maharage au mahagwe![]()
![]()
![]()
tena makwenzi ya ugoko
Hv ni kwenzi au konzi?!
Nimemuona Bocco anarukaruka kama panziMnaona geree
Ni maharage au mahagwe
Ni wali au ubwabwa?
![]()
![]()
![]()
......

SanaaaaAisee, ila arusha nane nane wanapenda sana
Najua hilo haaaaahaaaaSanaaaa
Na wanachofataga ni bia na nyama lol