Makapuku Forum

Makapuku Forum

Duuh kumbe utani wa humu unawaumiza watu
Jamani hapa ni stress free sio siasa hivyo utani ni kawaida tu

Mfano Husna & Obe ni couple ya humu ila mimi kila siku nataniana na Husna hadi mtu anaweza kuhisi nina uhusiano nae ila la hasha ni utani tu

Hivyo wadau msiwe mnamind mambo madogo tu pia utani wetu unaishia kwenye thread hii tu tukikutana kwingine hatutaniani kivile na kila mtu yupo huru humu au nje ya thread hivyo ya humu huishia humu

Niwatakie Mchana Mwema
..........
 
Umenena tozi wa joto city
 
mdau hakuna aliyekwazima ilikuwa changamsha genge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom