Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Simba taifa kubww mpaka mnapewa mapumziko[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Hakuna kazi sababu ni nane nane tu [emoji53]
Simba taifa kubww mpaka mnapewa mapumziko[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Hakuna kazi sababu ni nane nane tu [emoji53]
Kumbuka huyo jamaa ni mkuryaHapo kwenye kipigo hata mimi uzalendo utanishinda[emoji23]
Ndo alivyosema mwenyewe alipoulizwa... Au hukuona hizo post mjukuu wangu.Kwahiyo babu baba d asipoonekana katekwa si ndio mana yake
Ina maana Lee hajawahi kukupiga shemelaUnajua cuzoo kuna kosa unaweza fanya yaan hata ukipigwa unajua kabisa nilistahili hii adhabu ya kipigo lakini sio mara kwa mara tupigane hapana jamaan
Sisi kwetu matusi makubwa [emoji16][emoji16][emoji16]Boo_Bae
Hewalaaaa shemSimba taifa kubww mpaka mnapewa mapumziko
Msamehe tu![]()
![]()
![]()
Hakuna kitu alichoniudhi kama kumuuza Chicharito
.....
AiseeAisee hata anifumanie kipigo hapana achague adhabu nyingine kwa kweli.
Nakuonaa tuuHewalaaaa shem
Acha kumsingizia baby wangu bhana[emoji23]Kumbuka huyo jamaa ni mkurya
HaaaaahaaaaMfyuui unaongea tu mama ndio umeshaingia kutoka hakuna
[emoji15] [emoji15]Sisi kwetu matusi makubwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Cuzoo hajambo[emoji5]Nakuonaa tuu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Cuzoo ndoa sio ya kuiga mpenzi sababu kiria kafanya vile na we hivyo pambana na hali yako tu utakayokutana nayo upande wako kiria ni mzima yule ndoa ya mwanzo haina hata miezi michache kaachika anamuacha kaka wa watu analialilia tu masikini kwa upendo alionao kwake ujue watu wanakosea kitu kimoja kabla hamjaoana ebu chunguzaneni kwanza mjuane mda flani mengine yafuatie kila mtu amjue mwenzie mapungufu yake
Cuzoo kwenye kupigwa hapo kila mtu ataongea lake ila mwanaume ni mwanaume tu na kupigwa hata kibao lazima ukionje
MmhNdo alivyosema mwenyewe alipoulizwa... Au hukuona hizo post mjukuu wangu.
Ni poa mzima weye?Niaje wakuu
Sijawahi mkosea Baba D cha kunipa kipigoIna maana Lee hajawahi kukupiga shemela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi kwetu matusi makubwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio aina yake hiyoHizo quote veeep tena jamaan
Karibu, naona fungate limeishaMornie shem