Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Leo ni 88Leo ni simba day hiyo nane nane ya kwako na bitoz
Hiyo Simba day ni yako na Simba wako
Leo ni 88Leo ni simba day hiyo nane nane ya kwako na bitoz
Aiseee nitatoka tu mbona kiria alitokaMfyuui unaongea tu mama ndio umeshaingia kutoka hakuna

HBD MorsiLeo katika Historia
1951 - Mohamed Morsi anazaliwa.
Ni Rais wa 5 wa Misri.
HBD LVGLeo katika Historia
1951 - Louis Van Gaal anazaliwa.
Ni kocha wa zamani wa Barcelona, Bayern Munich na Man Utd
HBD KenLeo katika Historia
1950 - Ken Kutaragi anazaliwa.
Ni mfanyabiashara mashuhuri toka nchini Japan aliyeanzisha game za televisheni za " Play Station " maarufu kama PS.
HBD Luis SahaLeo katika Historia
1978 - Louis Saha anazaliwa.
Mshambuliaji wa zamani wa Man Utd na Ufaransa
Leo katika Historia
1950 - Ken Kutaragi anazaliwa.
Ni mfanyabiashara mashuhuri toka nchini Japan aliyeanzisha game za televisheni za " Play Station " maarufu kama PS.
HBD Roger FedererLeo katika Historia
1981 - Roger Federer anazaliwa.
Ni mcheza Tennis mahiri toka nchini Uswizi.
Mugabe naye atuoneshe uwezo wake katika jeshiLeo katika Historia
Ni siku ya Jeshi la nchi ya Zimbabwe.
Cuzoo ndoa sio ya kuiga mpenzi sababu kiria kafanya vile na we hivyo pambana na hali yako tu utakayokutana nayo upande wako kiria ni mzima yule ndoa ya mwanzo haina hata miezi michache kaachika anamuacha kaka wa watu analialilia tu masikini kwa upendo alionao kwake ujue watu wanakosea kitu kimoja kabla hamjaoana ebu chunguzaneni kwanza mjuane mda flani mengine yafuatie kila mtu amjue mwenzie mapungufu yakeAiseee nitatoka tu mbona kiria alitoka![]()
![]()
Ila haya mambo haya hivi Kuna ambaye hajawahi onja hata Kofi kweli![]()
![]()
Simba day ilianza liniLeo katika Historia
Ni siku ya tamasha la Simba ' Simba Day " ambapo timu hiyo inaadhimisha miaka 81 ya Kuanzishwa kwake.
Hata wewe mpenzi unapingana na ukweliLeo ni 88
Hiyo Simba day ni yako na Simba wako

nikikufumania nakukomesha yani nakupa mapigo ya vumbi la kongo. lazima utulizane nyumbani.. nakufululiza dailyAisee hata anifumanie kipigo hapana achague adhabu nyingine kwa kweli.
Kitaifa inafanyikia mkoani LindiLeo katika Historia
Ni siku ya Wakulima nchini Tanzania maarufu kama " Nane Nane "
Ambapo maonyesho ya wakulima hufanyika kwenye mikoa mbalimbali.
Ni siku ya mapumziko. (Leo hakuna kazi hureeeeee)
Kweli atii tatizo hawajuani kwa Muda mrefu wengine kwenye uchumba tu tushachezea vibao vya kutoshaCuzoo ndoa sio ya kuiga mpenzi sababu kiria kafanya vile na we hivyo pambana na hali yako tu utakayokutana nayo upande wako kiria ni mzima yule ndoa ya mwanzo haina hata miezi michache kaachika anamuacha kaka wa watu analialilia tu masikini kwa upendo alionao kwake ujue watu wanakosea kitu kimoja kabla hamjaoana ebu chunguzaneni kwanza mjuane mda flani mengine yafuatie kila mtu amjue mwenzie mapungufu yake
Cuzoo kwenye kupigwa hapo kila mtu ataongea lake ila mwanaume ni mwanaume tu na kupigwa hata kibao lazima ukionje

Wamalize salamaLeo katika historia
Ndugu zetu wakenya siku ya leo wanafanya uchaguzi Mkuu ili kupata raisi wao atakaetawala kipindi kijacho
Tena mjukuu wangu mtu akikupiga unakimbilia kwa babu yako... Kesi tunafanyia kwanguKipigo kikizidi unamkalisha vikao me mwenyewe na mambo ya kupigwa pigwa tofauti kabisa unipige endapo kuna kosa kweli nimefanya adhabu yake nakua sina la kusema lakini kupigwa pigwa tu hapana



nikikufumania nakukomesha yani nakupa mapigo ya vumbi la kongo. lazima utulizane nyumbani.. nakufululiza daily
Yani umeona hii ndo adhabu.