shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
HBD Mohammed MorsiLeo katika Historia
1951 - Mohamed Morsi anazaliwa.
Ni Rais wa 5 wa Misri.
HBD Mohammed MorsiLeo katika Historia
1951 - Mohamed Morsi anazaliwa.
Ni Rais wa 5 wa Misri.
Hadi tumalize fungate boo[emoji5] [emoji5]Me love you so much
Ati your cuzoo anataka kapicha ka fungate
Na Ajax, HBD LouisLeo katika Historia
1951 - Louis Van Gaal anazaliwa.
Ni kocha wa zamani wa Barcelona, Bayern Munich na Man Utd
Usimuogopeshe mwenzio asije akaanza kuniangalia kwa wasi wasiUnajua cuzoo kuna kosa unaweza fanya yaan hata ukipigwa unajua kabisa nilistahili hii adhabu ya kipigo lakini sio mara kwa mara tupigane hapana jamaan
Hapo mjukuu wangu ndo unashangilia au [emoji3][emoji3][emoji3][emoji134] [emoji134]
HBD Louis SahaLeo katika Historia
1978 - Louis Saha anazaliwa.
Mshambuliaji wa zamani wa Man Utd na Ufaransa
Atashuka tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo gani hayo jamaanHa haaaaa hata kwa viboko[emoji23]
SafiKweli shem
Nzuri shemela wangu, D hajamboNipo poa Baba jj za wewe shemela wangu
Kama nakuona shemela ulivyofurahi huko[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Anataka mpaka atoe damu[emoji23]Atashuka tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo gani hayo jamaan
[emoji3]Mfyuui unaongea tu mama ndio umeshaingia kutoka hakuna
Mbona unatukana tena Linamo?Boo[emoji15]
WapoAiseee nitatoka tu mbona kiria alitoka[emoji23] [emoji23]
Ila haya mambo haya hivi Kuna ambaye hajawahi onja hata Kofi kweli[emoji38] [emoji38]
Hapana sijashangilia Baba D hatakubali tuje kwakoHapo mjukuu wangu ndo unashangilia au [emoji3][emoji3][emoji3]
Wapi tena babu yangu[emoji15]Mbona unatukana tena Linamo?
PoyeLeo imezidi kunivuruga ujue
D wangu hajambo kabisa shemelaNzuri shemela wangu, D hajambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anataka mpaka atoe damu[emoji23]
Ngumu sana kuaminiWapo