Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia

2010 - Mafuriko makubwa yatokea huko China katika miji ya Gansu na kuua takribani watu 1400.
dd3d172ba2f5ffcf0d2a878c4ab42bd2.jpg
63a3f4c6c51ce536ee107f85b958688f.jpg
4cc2afe51a60f4c78ff678993a25173d.jpg
Mto Yangtze ndio kinara wa mafuriko huko
.....
 
Wote mpo sahihi kiimani msibishane ndio maana niliandika
Kwa wasio waislamu wanaamini Mtume Muhammad ndio aliyeanzisha uislamu wakati kwa waislamu hawawamini hivyo wanaamini Uislamu ulikuwepo kabla yake yaani aliueneza tu au kuuendeleza yaani hakuanzisha kitu

Niwatakie Siku Njema
............


Na kwako pia
 
Leo katika Historia

1974 - Rais Richard Nixon wa Marekani huku akiwa live katika Televisheni zote nchini Marekani atangaza kujiuzulu Urais wa Nchi hiyo baada ya kuandamwa na kashfa ya Watergate.

Anakuwa ni Rais wa kwanza na pekee mpaka sasa nchini Marekani kujiuzulu wadhifa huo wa Urais.
Uwajibikaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom