Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Ahsante mkuu kwa hisani ya Simbu uwe na jioni tulivuView attachment 560092Nawatakieni wote jumatatu njema
Ahsante mkuu kwa hisani ya Simbu uwe na jioni tulivuView attachment 560092Nawatakieni wote jumatatu njema
Waza pia na akili ya jioni!Mr x atakuwa mzee mwinchande nawaza tu akili za asubuhi jamaan Baba D asante san![]()
AnkaliMorning family
LindiMwakirat.....![]()
HBDLeo katika Historia
1932 - Abebe Bikila anazaliwa.
Ni mwanariadha kutoka Nchini Ethiopia.
HBDLeo katika Historia
1940 - Jean-Luc Deheane anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa 63 wa Ubelgiji.
HBDLeo katika Historia
1966 - Jimmy Wales anazaliwa.
Ni mwanzilishi wa Wikipedia.
Ni mfanyabiashara wa Kimarekani aliyejikita kwenye biashara za mtandaoni.
HBDLeo katika Historia
1969 - Paul Lambert anazaliwa.
Ni kocha wa zamani wa Norwich na klabu ya Aston Villa.
Naomba kujua kuhusu chia seeds![]()
Kwa udhamini mnono wa Chia seeds sina la ziada kutoka kwenye leo katika historia
Niite Jimena Jimenes
Nawatakia week njema yenye mafanikio na furaha tele!
Ni mzima kabisa huwa anapita ila atarejea karibuni
SawaWaza pia na akili ya jioni!
Salama kabisa, fungate limekwishaShem wange za weweasante kwa kurudisha avatar yako
Mbona umewaza matusi mkuu
Wapeleke kwenye mlima LolezaSipat picha ingekuwa bongo.. usiku watu wangekuwa wanapanda kudownlod movie..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio vyote hakuna
Sio wote wana ugomvi
Ni salama mkuu karibu

Uko poa mpendwa wa mtaasisi
Uko poa lakini shem waneSawa
Nina baiskeli moja na mapapai saba