Wanaamsha dude tena
Kawaida tu shemelaSafi baba jj mwenyewe mbona unalala sana hivyo nini shida
MorningKumekucha na makucha yake kila mtu na kichaa chake Morning all kapuku
Nakufananisha na mtu princessanne
Aha ha ha ha ha ha mm sijui make ulianza na asha leo huyo...sio mbaya utamjua tuu...sema akili zako najua najua zimechanganyika na kipasho plus mpashano wa asubhMr x atakuwa mzee mwinchande nawaza tu akili za asubuhi jamaan Baba D asante san [emoji8]
Morning
Morning tooMorning
Hawana mahusiano shemela walikutana tu pamoja wakaamua kupiga picha si unajua tena watz wanajua fursaView attachment 560088Shemela hii ina ukweli, joket na Henry
Dege lishaanza kupigwa vita sijui kama litakuja
Aisee huyu frola angenyamaza tu jamaan vingine mbona anazidi kujitia aibu tu mara amuandikie kitabu x mume wake mara hivi mara vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha ninyamaze sikutaji dear
Baba D jamaan [emoji85] ebu niambie basi simwambii mtu hata binamu obe mr x ni naniiiAha ha ha ha ha ha mm sijui make ulianza na asha leo huyo...sio mbaya utamjua tuu...sema akili zako najua najua zimechanganyika na kipasho plus mpashano wa asubh
[emoji102] wala sikuogopi kwani dhambi kua humu mtandaoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha ninyamaze sikutaji dear
Sio dhambi bana
Uko poa