Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Leo katika Historia
1932 - Abebe Bikila anazaliwa.
Ni mwanariadha kutoka Nchini Ethiopia.
Alifariki 1973 akiwa na umri wa miaka 41 tu ila rwkodi na medali kibao
.....
Leo katika Historia
1932 - Abebe Bikila anazaliwa.
Ni mwanariadha kutoka Nchini Ethiopia.
Babu mzeewakungoahutaki kupitwa aisee unafukua makaburi kama mpendwa wa binamu obe

Leo katika Historia
1940 - Jean-Luc Deheane anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa 63 wa Ubelgiji.
Leo katika Historia
1966 - Jimmy Wales anazaliwa.
Ni mwanzilishi wa Wikipedia.
Ni mfanyabiashara wa Kimarekani aliyejikita kwenye biashara za mtandaoni.
Kwani uzunguni nako uchumaulete?!![]()
Sijui pesa zake zinachukuliwa na chuma ulete....ana kautajiri ka USD takriban 1 milioni tu![]()
.....
Leo katika Historia
1969 - Paul Lambert anazaliwa.
Ni kocha wa zamani wa Norwich na klabu ya Aston Villa.
Kwehu ni barani Msenangu nauya Pemba eeh x4
Maulana mudzomba Maulana x2
Haila haila Fatuma, wenda kwao bara x2
Ndaro poreni eeh ndaro..
Hoya ndaro poreni eeh ndaro hoya x2
Hunalomba madzo nagadze
Voya hunalomba madzo nagadze hoya x2
Namala dede...
haya vina vina ngoma haya aah x2
Usikale no tsungu msenangu,
Ngoma mbidzo uvine usishononeke,
Ukaleto msenangu wee
Mi nenda msenangu usirire..
Napola na kwehuke msenangu
Chino chela uvine usishononeke
Sina raha msenangu wee
Mbegwa msenangu ndakuricha Chitsakachi
na “ndondo lwa ndodo??”
Mira midzo uvine usishononeke
Ndagariche msenangu wee Kala
msenangu mi ne nenda,
Nyamala dede aiyaaa
Tunavina ngoma aiyaa..

Hapo sasaKwani uzunguni nako uchumaulete?!
Sawa bhana![]()
![]()
![]()
nazuga banaa ili wasitustukiee
ItakuwaHapo sasa
![]()
![]()
![]()
Sio kila mtu utajiri ndio kipaumbele chake jamaa nahisi kipaumbele chake labda ni kusaidia watu kiteknolojia tu
.........
Sawa bhana
Tukutane Jioni
.........
