makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,930
- 104,255
Hhmm.. hilo jina tu, mie meno thelathini na nje yote 2.Leo katika Historia
1932 - Abebe Bikila anazaliwa.
Ni mwanariadha kutoka Nchini Ethiopia.
Still loading.....
![]()
Kaburi/sanamu yake {Abebe Bikila Statue)![]()
Alifariki 1973 akiwa na umri wa miaka 41 tu ila rwkodi na medali kibao
.....
Wasiwepo vp.. wazungu ni wachawi haoo...Kwani uzunguni nako uchumaulete?!
Kumbe hadi ndoo ya uefa kabeba![]()
![]()
![]()
![]()
Tofauti na Mourinho jamaa kapata mafanikio zaidi akiwa mchezaji kuliko kocha
....
Duh.. aende kigoma wakamtibie..![]()
Sijui pesa zake zinachukuliwa na chuma ulete....ana kautajiri ka USD takriban 1 milioni tu![]()
.....
Na me nimeliona leoMi nilishawaza hivyo before you
Mwanamke mpumbavu
Shem wange za weweAhsante kamanda
asante kwa kurudisha avatar yakoOya wee kiatu cha faras lugha gan hii babu..Kwehu ni barani Msenangu nauya Pemba eeh x4
Maulana mudzomba Maulana x2
Haila haila Fatuma, wenda kwao bara x2
Ndaro poreni eeh ndaro..
Hoya ndaro poreni eeh ndaro hoya x2
Hunalomba madzo nagadze
Voya hunalomba madzo nagadze hoya x2
Namala dede...
haya vina vina ngoma haya aah x2
Usikale no tsungu msenangu,
Ngoma mbidzo uvine usishononeke,
Ukaleto msenangu wee
Mi nenda msenangu usirire..
Napola na kwehuke msenangu
Chino chela uvine usishononeke
Sina raha msenangu wee
Mbegwa msenangu ndakuricha Chitsakachi
na “ndondo lwa ndodo??”
Mira midzo uvine usishononeke
Ndagariche msenangu wee Kala
msenangu mi ne nenda,
Nyamala dede aiyaaa
Tunavina ngoma aiyaa..
Huko kwenu sasa hivi asubuhi makaveli
Sipat picha ingekuwa bongo.. usiku watu wangekuwa wanapanda kudownlod movie..
Kama wachuchuz wapo haina tatzo... nakaa bila shurti