Hbd JimmyLeo katika Historia
1966 - Jimmy Wales anazaliwa.
Ni mwanzilishi wa Wikipedia.
Ni mfanyabiashara wa Kimarekani aliyejikita kwenye biashara za mtandaoni.
Morning dearAkapiga na ngoma ya baikoko??????Morning jamani
Madame S
Asante cuzo![]()
Kwa udhamini mnono wa Chia seeds sina la ziada kutoka kwenye leo katika historia
Niite Jimena Jimenes
Nawatakia week njema yenye mafanikio na furaha tele!
Wazima kabisa mamy hofu kwako tu na mshkaji wanguHope muwazima
Madame S
How do you get to know all of these,?Leo katika Historia
1932 - Abebe Bikila anazaliwa.
Ni mwanariadha kutoka Nchini Ethiopia.
Sisi wqzima tunashukuru Mungu sjui shem naye?Wazima kabisa mamy hofu kwako tu na mshkaji wangu
Mzima sana dearSisi wqzima tunashukuru Mungu sjui shem naye?
Madame S
Happy birthdayLeo katika Historia
1969 - Paul Lambert anazaliwa.
Ni kocha wa zamani wa Norwich na klabu ya Aston Villa.
UshanichokaHome sweet home kaka bitoz ninunulie na mie
Na Gazeti nalo likatumia fursaHawana mahusiano shemela walikutana tu pamoja wakaamua kupiga picha si unajua tena watz wanajua fursa
MmmmmmmhUshanichoka
Unaanza kuniita kaka
![]()
![]()
![]()
....