Makapuku Forum

Makapuku Forum

75faa7ace270472813a8cac0b2cc5120.jpg

Kwa udhamini mnono wa Chia seeds sina la ziada kutoka kwenye leo katika historia
Niite Jimena Jimenes
Nawatakia week njema yenye mafanikio na furaha tele!
Asante ankali kwa historia bora kabisa
 
Leo katika Historia

1998 - Balozi za Marekani zilizopo Kenya na Tanzania zalipuliwa katika tukio la kigaidi na kuua takribani watu 212.

Waliohusika katika tukio hilo ni kikundi cha Kigaidi cha Al Qaeda chini ya uongozi wa Osama Bin Laden.

Mtanzania Mohamed Ghailani kutoka Zanzibar ndiye aliyehusika katika mlipuko wa Tanzania, na alikamatwa huko Pakistani miaka minne baadae na kwa sasa anatumikia kifungo chake huko Guantanamo Bay.
6b052b2c9ef18577401c46e4f650d724.jpg
51ab611945634839c96b23b0912b730e.jpg
ba537d914bf698a1dc91b50f35fdce28.jpg
3b450e4615b6382c87627cc9e611bdbc.jpg

Ila wahanga walilamba pesa ndefu
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom