Makapuku Forum

Makapuku Forum

Lee pole sana
0e4990e44f122cbc38fdaabd39e0a130.jpg

Bundi kaanza mapema

....
 
THE DOM

Sehemu Ya 12

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Instagram....

Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←

SON OF PRESIDENT GU

Chumbani dada kawa mgumu kuvua nguo,...

Lakini Baada ya masaa matatu kupita, dada huyo akiwa analia lia kitandani mwenyewe, wakati huo sahi ndio ananyanyuka kwenda kuoga,... Sasa huku chumbani, yule dada hakutaka kumsubiri sahi, lakini haijulikani kama kalipwa au laa,... Kwanza alichukuwa suruali ya sahi na kuisachi vizuri.. Kachukuwa waleti kisha kaangalia... Kakutana na vitambulisho vya uanajeshi.. Kaweka suruali pembeni kisha mana kakosa cha kuchukuwa mana hajazoea kuiba, lakini wakati huo dada alikuwa akichechemea, sasa hatujui kioi kimemkuta dada huyo mana hapo alikuwa na hasira ya hali ya juu,...
Sasa alipoangalia kwenye ile misumari ya mlangoni ya kuwekea vitu kama shati au suruali, na vingine vingi, sasa kwenye huo mlango kuna kile kibegi ambacho kina dom original, saa ngapi hajakichukuwa na kukisachi... Aliikuta dom original ikiwa imejaa katika kibegi hicho.. Kulikuwa na vitu vingi sana, ikiwemo laptop, na External hard drive na pia kulikuwepo na internal hard drive, na hio dom original, sasa dom na internal hard drive vinafanana na pia vinaendana kwa ukubwa.. Japo dom kubwa kidogo,...
"hii kubwa kubwa hii.. Itakuwa ina bei kubwa kidogo, wacha niondoke na hii kubwa"
Aliongea yule dada huku akiichukuwa dom Originally

ENDELEA..........

Sasa tuanzie wakiwa wanaingia chumbani, mana tuliirusha katika kipande kilichopita... Sasa hapa twende sambamba toka wakiwa bafo hawajaingia katika gesti...

Sahi alimchukua dada huyo kwa nia ya kwenda kustarehe nae kimapenzi, na yote haya ni kutokana na ushauri aliopewa na Joseph,.. Kama kawaida parlipo na danguto hapakosi nyumba za kulala wageni, licha ya kuwa hawa nao wana mahala pao ambapo mkielewana vizuri basi mtakwenda huko ila kama mwanaume hutaki basi utachukuwa chumba katika hoteli ndogo ndogo zilizopo katika eneo hilo

Mpaka ndani sahi anafungua mlango wa chumbani na kuingia, lakini dada huyo alikuwa ni muoga sana, tena alionekana ni mgeni katika hii kazi, lakini hata sahi alionekana tu kutokuwa na ile shauku ya kufanya kitu fulani na mwanamke huyo,... Sahi kuvua nguo zake na kuziweka katika meza, wakati huo rasketi au kibegi cha sahi kimetungikwa katika misumari ya mlangoni pale kikiwa iina vitu vingi sana ndani yake ikiwemo dom Original, sahi alibakiwa na boxer lakini dada huyo alikuwa bafo anamshangaa sahi,
"mbona hata hujiandai"
Aliongea sahi baada ya kumwona anazidi kushangaa badala ya kujiandaa watu wale waondoke,...
Mdada alikuwa akijivuta sana katika swala la kujiandaa, sahi kamvamia pale pale kitandani alipokaa kisha akamuuliza
"unaitwa nani"
Sahi aliuliza jina la dada huyo mana hajawahi kuona changudoa wa aina hio japo sahi sio tabia yake ya kununua wanawake lakini anajua fika machangudoa hawawagi hivi
"naitwa sauda"
Mtoto wa kike alijibu bara bara kabisa, wakati huo boxer ya sahi ilishaanza kijenga kibanda kutokana na mipaja ya sauda ilivyo mizuri,... Laaa haulaaa, sahi alianza kumfunua gauni lile lililokuwa fupi kabala ya kufunuliwa, sauda alikuwa akitetemeka sana kwa hali ile, sahi alipo pandisha gauni lile alifanikiwa kuina vazi la chupi ya kijani,... Yaani sahi mpaka alisisimkwa na mwili, afu ukizingatia toka arudi toka korea hajawahi kuwa na mwanamke, sasa sahi hamu ya mapenzi imeluja upya baada ya kuona vazi lile.... Hakumchelewesha wala nini, tuliona kigauni kikirukia upande wa pili huku sauda akiwa tayati kuvua chupi, lakini alikuwa akisita kufanya hivyo,.. Yaani chupi ilifanya kimbana kutokana na umbo lake kuwa kubwa, kana kwamba hata hilo vazi halikuwa saizi yake, ni kama kalilazimisha tu kulitia mwilini

Sahi aliivua boxer yote baada ya kuona Zakaria wake anateseka kujibana bana wakati wa kusimama.. Sauda kuona zakaria ya sahi alitamaki na kushika mdomo, huku akiizuia chupi yake isivuliwe...
"kaka, tafadhali sana sintokuweza"
Aliongea sauda huku akijisogeza kando kabisa na sahi...
Sahi alimvuta na kuivua ile chupi kwa nguvu mpaka ikavulika, lakini ni kwa mbinde sana.... Sasa sahi alibaki akiiangalia nanii ya sauda kwa jinsi ilivyo amaizing flani hivi, sahi hakusita kukishika shika kinanii cha sauda,... Yaani nani utafikiri haijaguswa..
"machangudoa mna mbinu nyie, yaani kitu utafikiri bikra, kumbe manjonjo yenu tu"
Aliongea sahi huku sauda akijibu kiwa
"samahani kaka, weww ndio mwanaume wa kwanza kuiona nanii yangu, na licha ya kuiona, hata kuitumia pia"
"aahhh ustake kunidanganya, wacha nikubabadue nikuoe pesa uondoke"
"kama kweli wewe unaijua bikra ilivyo, basi nakupata ruksa unichunguze unavyotaka"
Aliongea sauda ili kujipa ubora zaidi, mana ukipata changudoa mwenye sifa hizo hata pesa yake ni kubwa zaidi hivyo sahi aliona sauda ni kama anapalilia kibarua chake... Sahi alimsukuma sauda kitandani kisha akaanza kumnyonya mdomo, chuchu za sauda, zilikuwa kama sindano kwa sahi, mana kila akizigusa chuchu hizo sahi alikuwa akirudi nyima kutokana na ukali wa chuchu hizo... Zakaria ya sahi ilikuwa ikitafuta sehemu yake husika wakati huo sauda kabana mapaja huku zakaria ikimtekenya katika mapaja yake mapaka akalainika, sauda alilainika hata mlenda ulisingiziwa..

Kiulainiii sahi anaichukuwa zakaria yake na kuanza kuiweka sehemu husika,... Yaani sauda hakuwa hata na tone la jani, ya hapaonekani kama pamefyekwa majani, afu mbaya zaidi kitumbua kilivimba kwa ubora wake,... Kweli sauda hata akisema ni bikra ni kweli, kwani hata sehemu husika ya kuwekea zakaria ilikuwa ndogo sana, ukizingatia na sahi kujaaliwa na mwenyezi mungu, ndio kabisaa kama anamuumiza mtoto wa watu...

Sahi kila akijaribu wapi,... Zakaria inashindwa kubisha hodi, na wakati huo sauda anasumbua kupita maelezo, mana anasema anajiskia maumivu makali wakati wa sahi kuingia,... Kilio cha maumivu kilisikika lakini mwanaume hutakiwi kujali kilio cha mwanamke wakati wa kufanya mapenzi,....

Robo saa mbele, tulishangaa kuina mtapakao wa damu katika mashuka ya gesti,.. Wakati huo sauda alikuwa akilia kwa pembeni huku akiwa kabana mapaja yake,.. Sahi alipofunua paja moja,... Duuu mtoto alitokwa na damu nyingi sana, alimchukuwa na kuingia nae bafuni, alikaosha vizuri sana kisha akakaleta kitandani tena...
"jamani we kaka, unataka urudie tena"
Aliuliza sauda mana sahi alikaa mkao wa kutaka tena
"kimoja tu jamani"
Alijibu sahi, huku nanii yake ikiwa dede kama mbwa mwitu,...
"hapana kaka angu, nipo tayari hata usinipe pesa... Lakini siwezi kurudia, naskia maumivu makali mno kaka angu,.. Hata pesa yako siitaki naomba nilale tu mpaka kesho"
Aliongea dada huyo, na wakati huo sahi yeye bado hajaoga,.. Akaona wacha amuache ili aamke nae asubuhi.... Sahi alijibwaga kitandani na kuuvuta usingizi

Saa 11 sahi anaamshwa na mlio wa simu, kuangalia mpigaji alikuwa ni Joseph,
"haloo Joseph habari yako"
"safi tu wapi hio"
"nipo hapa chaki gest"
"ok ni time ya kuondoka hii sio mpaka kazini wajue tulikuwa nje ya nyumba zetu"
"ok poa wewe upo wapi"
"nimeshatoka nipo katika gari nakusubiria wewe"
Sahi kusikia hivyo alitupa simu na kuwahi bafuni, hata kile kimoja cha mwisho hakukitaka tena...

Sasa wakati sahi anakimbia kuoga, huku nyuma kumbe sauda hakulala fofofo,...
"huyu mkaka sijampa mzunguko wa pili, huenda asinipe pesa yangu... Kwanini nisichukue na kuondoka"
Aliingea sauda huku akiamka na kuvaa nguo zake vizuri kisha akatungua suruali iliopo juu ya mlango,... Alikutana na walet iliovimba, alipofungua katika walet hio alikutana na kadi nyingi sana za benki, hata pesa alizonazo sahi hazikuwa nyingi yaani hata elfu 50 haziwezi kufika.. Maana yake ni kwamba sahi yeye hutegemea kadi kumpa mahitaji yote
"mbona hana pesa sasa, ina maana alitaka kunirusha"
Aliongea sauda huku akizidi kuipekuwa,... Lakini alipozidi kupekuwa walet hio, alikutana kitambulisho cha TSS na cha JESHI lakini vyote ni vya kiuanafunzi ila sauda yeye hajui, alipoona mtu kavaa kijeshi tu akajua huyu anaweza pia kumkamata... Mana hakuna serikali inasapoti swala la uchangudoa katika nchi yake,

Sauda alirudisha waleti na suruali ilipokuwa kisha akataka kuondoka, lakini kabla hajaondoka alisita na kusema kuwa...
"hii kazi siitaki tena... Leo ndio mara ya kwanza na leo ndio mara ya mwisho.... Lazima nitafute kitu cha kuuza kikanisaidie maisha huko mtaani"
Aliongea sauda mwanamke mpole, na mzuri kupitiliza,.. Sauda aliuona mkoba wa sahi, aliuchukuwa na kuanza kuusachi.. Humo ndani palikuwa na laptop na External Hard drive na Internal hard drive, bila kusahau dom original ikiwa ndani yake,...
"hivi vitakuwa vitu vya Komputa hivi"
Alijisemea sauda huku akizidi kuchagua chenye pesa zaidi kuliko vyote,...
"hiki kikubwa kitakuwa na pesa nyingi sana"
Aliona dom ndio kifaa cha kompyuta chenye pesa nyingi sana hivyo hakusita kukichukuwa,....

Sahi anatoka bafuni lakini alishangaa hamuoni mwanamke, alijua labda kaenda mapokezi kuagiza supu... Basi sahi alivaa nguo zake kisha akachukuwa simu yake na mkoba wake akautia begani, wazo lake ni akutane na sauda akamlipe pesa yake, mana hapo hana keshi na ni kweli hakuwa na keshi na ndio mana sauda akatafuta njia mbadala ili apate pesa nyingi zaidi zitakazo weza kumpa mtaji wa kutosha ili aache hio kazi mana hakuipenda na ni mara yake ya kwanza kufanya hivyo.... Lakini sahi kila akipiga hatua hamuoni sauda, alipofika mapokezi alimuulizia lakini kaambiwa katoka muda sio mrefu,.. Hajakaa vizuri mara anaitwa na Joseph

"oyaa twende wewe"
Alikuwa ni Joseph ndie alie muita sahi, na hapo kila mtu na gari yake,
"asew kuna dem kasepa bila kumpa pesa eti ndio namwangalia hapa nimlipe"
"hio bahati yako acha ubwege... Mi mwenyewe natamani hata nisiwalipe"
"hapana... Kwasababu ni maelewano sioni haja ya kutokumlipa ujura wake"
"kwahio unamtafuta si ndio"
"natamnwsana jambo kama hilo"
"acha ujinga bwana sahi twende zetu"
Sahi kama vile alichezwa na machale lakini hakujua nini sababu ya machale hayo... Basi Joseph aliwasha gari yake huku sahi akifuatia kwa nyuma, lakini sahi hajapenda kutompa pesa dada yule, yaani roho inamuuma mno kutompa pesa sauda, tena mtoto alikuwa mzuri kiasi kile...
Sahi alichukuwa simu yake na kumpigia Joseph mana yupo mbele yake,...
"aisee ngoja niingie home nikabadili nguo"
Aliongea sahi huku akiwasha taa ya kuingilia kushoto, sasa Joseph hajui nyumbani kwa sahi kule maeneo ya ostabei, Joseph alishangaa kumuona jamaa yake anaingia kwenye jengo la kitajir kiasi hicho.. Joseph ni mtoto wa rais, lakini sasa alimshangaa sahi kumbe ana mjengo mkubwa kiasi hicho... Joseph alisimama pembeni huku akimuuliza kwa sauti kubwa
"aahhhh kumbe jamaa angu una mjengo mkali namna hio"
"aahhhh si kwa dingi angu... Mjengo mkali niutolee wapi, hapa ndio home bwana"
Aliongea sahi huku geti likifunguka lenyewe bila ya mtu kuligusa,.. Sahi hakutaka kumkaribisha Joseph mana anajua upelelezi wake hauhitaji mbwembwe nyingi, sahi alipofika ndani aliutupia tu ule mkoba katika katika begi maalum la kuwekea vifaa vyake, yaani aliweka na begi lake huko huko,... Kisha akavaa nguo zake safi mana alishaoga kule gest....

Dakika chache mbele sahi anatoka tena na gari lingine,... Joseph alizidi kushngaa huyu jamaa ni mtoto wa nani,... Alishindwa kumwelewa ni mtoto wa nani mbona anabadilisha magari kiasi hiki tena yenye namba za serikali,.. Joseph aliona hio nayo ni moja ya kazi yake ya kumpeleleza mtu huyo,...basi waliondoka eneo hilo kila mtu akiwa na gari yake, mpaka wakafika kazini, na mpaka hapo sahi hajui kama kuna kitu kaibiwa...

Sasa huku kwa sauda akiwa ndio anakaribishwa na marafiki zake ndani, kumbe sauda wanakaa watu wasiopungua saba katika chumba kimoja, na wote kazi yao ni moja kila mtu akatafute chochote anschojua ilo alete,....
"bi shot uyooo anarudi kazini"
Waliongea rafiki zake na kumpigia makogi,....
"Afadhali hata umerudi mwenzetu... Mana sisi jana hatujapata hata mwanaume wa dawa... Jana wake zao wamewabana waume zao ndani"
Ghafla wanashangaa kifaa kimetupiwa mezani,.. Ilikuwa ni dom,
"sasa ndio nini hii"
Aliongea dada mmoja huku wakikiangalia
"mwenzangu we.... Hata mimi sijapata kitu... Hiki ndicho nilichokiiba kwa huyo mkaka... Na kazi hii sitaki tena"
"heeeeeee... Sasa utakaaje hapa kama hutaki kazi"
"nashangaa anajishauwa tu apa, toka juzi unakula nguvu zetu.... Haya chukuwa jichuma lako ukaliuze na utuleteee pesa hapa, sio tukuleee tu we sio mtoto wetu Bwana"
Aliongea member wa kundi hilo huku akimtupia ile dom aende akaiuze alete pesa.... Laiti wangelijua kuwa hicho ni kifaa kinacho tafutwa na serikali, wasingekitupa hicho... Na bei yake ni mabilioni ya fedha,...
"sasa nikakiuze shilingi ngapi"
"wewe ulioiba ndio unajua thamani yake.... We tuletee hata elfu 20 tupate ya kula leo"

Itaendelea.......

Je? Dom itauziwa wapi... Na je nani atajua kuwa hicho ndicho kifaa cha kufyatulia pesa???

ITAENDELEA.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom