Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia

1945 - Mji wa Hiroshima huko Japan, walipuliwa na bomu la atomic lililojulikana kama " Little Boy " ambalo liliua watu takribani 170,000 hapohapo na wengineo walifariki zaidi baadae kutokana na mionzi ya sumu.

Hii ilikuwa ni mara ya kwanza bomu la atomiki kutumika Duniani katika Vita kuu ya Pili ya Dunia, na lilileta madhara makubwa sana mpaka leo.

37e07a52475be5e27ac048811e9f5f9a.jpg
56174e2eee5547f8ec0f745bd0fee390.jpg
c7234a76c863b0f436c80ec32e887e43.jpg

Hadi Mfalme sijui aliitwa Akihito akapooza....nyuklia hatari sana
.....
 
Hawa watoto waache tu, eti P anataka ipad, nikamwambia asiwe wa kwanza wala wa mwisho darasani, halafu anitajie majina ya wakuu wa mikoa, wa wilaya zote na majina ya mikoa yote nchini. Hili ni zoezi endelevu
Hapo sasa ndo faida ya kuzaa mapema kama sio bahati ni nn ...mm D bado mamake sijui alimzaa amepiga vitu vyake make nakumbuka siku ya uchungu nilikuta chupa kama za safari lager ...make akili zake huyu kama zinajichajiii....sasa ngoja awe wa kwanza kutoka mwisho
 
Ombeni nanyi mtapewa tafuteni nanyi mtaona bisheni nanyi mtafunguliwa

Kwa maana kila aombaye hupokea naye atafutaye huona naye abishaye atafunguliwa

MATHAYO:7:7-8

Kuna nguvu kwenye maombi usiache kuomba au kukata tamaa kwa nini Mungu hakujibu atakujibu tu anakusikia kwa kila kitu unachomwambia na usiache kumwambia Mungu asante kwa kila anachokutendea

Mbarikiwe sana muwe na asubuhi njema na jumapili njema
 
Asantee mama angu kipenziiii...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom