Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Jumamosi Tulivu

Ni wikend inaendelea na kwa imani yangu najiaminisha kabisa kuwa upo vizuri na hii ni kwa sababu uwepo wako humu hunifanya niwe na siku njema sana. Yes, siku nzuri sana kwa sababu wewe kapuku ni mtu spesheli na hili jukwa si lolote si chote kama wewe haupo.

Binafsi huu mwezi hakika nimeuona, yaani naamka makingili mabaya na ninajirejesha maskani mahungulu mazuri, njiani nakuwa peke yangu tu na kujiliwaza inabidi nipige miluzi mingi na kuimba kwa sauti ili kufukuza wachawi. Ujue sometimes hawa wanga bila kuwatisha kibinadamu hawawezi kujali kama umeokoka au unaswali swala tano. Siwaogopi majambazi maana ninakibali cha kubeba kale kasilaha ketu pendwa, sasa hapo hujauliza nishajibu.

Muziki sasa, jumamosi ni siku nzuri, hongera na asante kwa wote mnaosali leo, ndo utaratibu wa kibinadamu, fuata yako nifuate yangu na mwisho wa siku tunagonga tano ngumu ngumu na kukaribishana madikodiko kama usawa unaruhusu. Mtanisamehe mnaokula makande wikend, ni utaratibu tu. Anaitwa MB Dogg alitamba na muziki wake bado unavutia wikend hii.

Muziki wa wadhamini na wapendanao utafuata, kama ulinisoma nilimiss chaguo la wangu wa moyoni na sina budi naogopa buti kuucheza Distance
 
asante mpendwa umenikumbusha enzi zilee kabla sijawa muhenga
 
Asante Obe kwa music
 
Muziki wa Wapendanao

Wakati mwingine unapokumbushwa kuwa umesahau inabidi ushukuru, nami ninakushukuru wangu uliyechukua moyo roho natembea nayo husna muba kwa kunikumbusha kuhusu wimbo huu. naamini msomaji unajua wimbo huu unaenda kwa nani. Tuburudike wote

Similar Discussions

Back
Top Bottom