Nani yuko macho
Heshima kwako binamu wee kila siku kama sio wa mwisho kujibu bhas wa mwisho kuona kwani yule Joy ulimwona mapema pasipo kuoneshwa mwishowe ukamuelewaa pasipo kuelewaana ..Mimi hapa anko niko macho! Au nimechelewa kujibu? Si unajua mimi ninakuwaga wa mwisho kujibu
Nzuri kabisa ankali JJ, za kwakoHabari ya jumapili wadau!
Karibu ankaliWazee wa kutest mitambo![]()
![]()
![]()
Asante kwa magazeti ankali ake
Acha nami nije kutambaring....
Hiroshima na Nagasaki, liliathili hadi kizazi cha watu wa JapaneseLeo katika Historia
1945 - Mji wa Hiroshima huko Japan, walipuliwa na bomu la atomic lililojulikana kama " Little Boy " ambalo liliua watu takribani 170,000 hapohapo na wengineo walifariki zaidi baadae kutokana na mionzi ya sumu.
Hii ilikuwa ni mara ya kwanza bomu la atomiki kutumika Duniani katika Vita kuu ya Pili ya Dunia, na lilileta madhara makubwa sana mpaka leo.
AiseeLeo katika Historia
1991 - Tin Berners- Lee anaanzisha idea yake ya kutumia World Wide Web ( WWW. ) baada ya matumizi ya Internet kuwa ya wazi kwa watu wote huko Marekani.
HBD KatieLeo katika Historia
1978 - Katie Price anazaliwa.
Ni mwigizaji na mwanamitindo toka nchini Uingereza.
HBD Robin van PersieLeo katika Historia
1983 - Robin Van Persie (RVP) anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Arsenal, Man Utd pia hucheza timu ya taifa ya Uholanzi.
Katika Ubora wake, alikuwa moto wa kuotea mbali kwenye swala zima la kufumania nyavu.
Bafetimbi anajua sana kufunga, tatizo ana matatizo ya moyoLeo katika Historia
1985 - Bafetimbi Gomes anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Swansea city.
Anasifika kwa staili ya kushangilia kama Nyani.
RIPLeo katika Historia
1978 - Papa Paul wa VI anafariki Dunia.
Asante kwa leo katika ankali JJNa kufikia hapo basi sina la ziada,
Kwa Udhamini mkubwa wa Majonzi ya Hiroshima niite Jimena Jimenes, tukutane kesho tena.
Bye
Kweli uko machoMimi hapa anko niko macho! Au nimechelewa kujibu? Si unajua mimi ninakuwaga wa mwisho kujibu
Makaveli za siku tele mkuuDuh!! Ndugu zangu mpoo mnaendeleza kurudumu.. hongeren sana kapukuz wenzangu, wapi jimena, wapi bitoz, shululu, quigley, mussolin, baily chwiti pie na wengine kibao mc u mnoo guyz...
Once a kapuku alwayz kapuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa kabisa ndugu yangu

Kweli uko macho
Hahaa.. muulize himena himenes.. mie simo.Poa kabisa ndugu yangu
Sweetiepie ulimpeleka wapi aisee![]()
![]()
![]()
Heshima kwako binamu wee kila siku kama sio wa mwisho kujibu bhas wa mwisho kuona kwani yule Joy ulimwona mapema pasipo kuoneshwa mwishowe ukamuelewaa pasipo kuelewaana ..
Sikumtuma D akupe ujumbe japo na wewe sijui P alipotea njia ??