Muziki wa Wapendanao
Wakati mwingine unapokumbushwa kuwa umesahau inabidi ushukuru, nami ninakushukuru wangu uliyechukua moyo roho natembea nayo husna muba kwa kunikumbusha kuhusu wimbo huu. naamini msomaji unajua wimbo huu unaenda kwa nani. Tuburudike wote
Asante ankali kwa UF na Hadithi....
Wazee wa kutest mitambo[emoji1] [emoji1] [emoji1]View attachment 559130Mwisho
Nawatakieni wote jumapili njema