Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Pamoja na madhara yote hayo ya Hiroshima, Marekani ikaona haitoshi wakaja kuachia bomu kubwa zaidi ya hilo siku tatu baadae katika mji wa Nagasaki na kulipa jina bomu hilo kuwa ni ' Fat man 'Hiroshima na Nagasaki, liliathili hadi kizazi cha watu wa Japanese
Hawa watu Mungu anawaona aisee