Makapuku Forum

Makapuku Forum

dcaa05f7a8cc4181958de4aee581a4cf.jpg
f527c00ec5cecfb2dc08744e522392bb.jpg
84eef83c82758a402708348d8e0fecee.jpg

Kwahiyo leo bangi zitapulizwa nchi nzima ?
....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijaenda baba d jana nilichelewa kulala si unajua nilienda nyama choma
Duh.. umeamka na kifungh cha mathayo halaf church hujaenda aahh.. vibaya hvyo bibie..

Nilivyokuwa naisoma ile mathayo nkajua wewe kanisan ndio ulikuwa wa kwanza kabsa, mshka funguo wa mlango alikukuta ww njee..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ombeni nanyi mtapewa tafuteni nanyi mtaona bisheni nanyi mtafunguliwa

Kwa maana kila aombaye hupokea naye atafutaye huona naye abishaye atafunguliwa

MATHAYO:7:7-8

Kuna nguvu kwenye maombi usiache kuomba au kukata tamaa kwa nini Mungu hakujibu atakujibu tu anakusikia kwa kila kitu unachomwambia na usiache kumwambia Mungu asante kwa kila anachokutendea

Mbarikiwe sana muwe na asubuhi njema na jumapili njema
Amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom