shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Tuna kazi kubwa sana, wenzetu wmebobea sana kwenye tafiti, lakini sua tu mtu anamaliza chuo hajui ubora wa udongo wa Tanga na iringa, ni masikitiko sanaAsante shemeji ila ndo watu tunategemea watuvushe vijana tufike hadi hatua ya kujiajiri kama watalamu nilio pata nafasi ya kutembelea mabanda yao nimesikitika maana Maelezo yao ni ngumu kutuvusha tunapo takiwa kufika
Nimefika hadi banda shirika moja la serikali wananipa majibu ya kukalili badala ya kunipa majibu ya swali walilo ulizwa