Makapuku Forum

Makapuku Forum

Namba 1,

Snow.

Pamoja na mauzo yake kuwa katika nchi moja, snow ndio bia ya mauzo mengi na maarufu katika sayari hii. hii beer inauzwa nchini china. hii bia unauza ujazo wa 573% duniani toka mwaka 2005. hii beer ina maji sana na corbonate nyingi .

hii beer imekuwa na mauzo makubwa kwa kuwa inauzwa bei ya chini sana.lita moja ya snow inauzwa kwa USD 1 tuu.


Hii bia ina kilevi cha 4.3% tuu.

Asanteni sana wakuu.

mimi sio mzee wa Top Ten ila nimefanya suprise manake mimi nilikuwa mdau wa beer enzi hizooooooo.
Kawaida tu mdau

Kesho & keshpkutwa km muda unaruhusu andika tu upate uzoefu
Mi sitakuwepo hapa milele na hata kazi zikibana nitakuwa sina muda wa kuwepo hapa kuandika nondo tena ila now muda unanieuhusu ila kuanzia km tareh 10 hivi km ratiba ikienda sawa naweza nisiwep for a week or more(nitakuwepo kwa kuchungulia au kuchat kidogo)
Tukutane kesho
......
Hahaaaa....

Bitoz..

Kuandika Top Ten ni mziki..
 
Kawaida tu mdau
Kesho & keshpkutwa km muda unaruhusu andika tu upate uzoefu
Mi sitakuwepo hapa milele na hata kazi zikibana nitakuwa sina muda wa kuwepo hapa kuandika nondo tena ila now muda unanieuhusu ila kuanzia km tareh 10 hivi km ratiba ikienda sawa naweza nisiwep for a week orr moreo(nitakuwepo kwa kuchungulia au kuchat kidogo)
Tukutane kesho
......

Pamoja mdau..
 
Muziki: Ijumaa ya Watu Wazuri

Nilitaka nimwage salamu ndefu sana Furahiday hii lakini kutokena na ukweli kwamba imeangukia siku ya kusheherekea bia kwa wanywaji basi nitajiaminisha tu kuwa uko poa kabisa na wikend umeianza vizuri. kama imekaa ndivyo sivyo usihofu, jipange.

Ninapowataja wadau kwa kuliamsha na kulichangamsha Jukwaa hili sio kwamba napenda tu kutajataja majina kama rapper wa kikongo, la, nawashukuru shululu kwa magazeti, lee empire kwa BBC, Shunie kwa Sala, mtaasisi mwenzangu Nyagei kwa kutuspotisha. Siwez kukosa historia Jimena ikichagizwa na picha na baadaye 10 kubwa za Bitoz , hadithi ya komandoo husna muba na top ten ya biere, monde, dawa ya tumbo, bia na Transcend (BTW, miaka hiyo zamani kule US kulikuwa na kitu kinaitwa Prohibition- bia na vilevi vilipigwa marufuku na mwaka 1933, March rais FD Roosevelt akasaini sheria ya kuodoa marufuku hiyo. Asanteni wadau

Siwezi kuacha kutambua mchango wa wageni wote na ni jambo zuri kukuona tena Mndali ndanyelakakomu , Clkey , Tumosa , dumejeuri dingimtoto mzeewakungoa shedede SHIMBA YA BUYENZE , Lyon Lee Sakayo demi ,koncho77 ,Madame S na wote mlioshiriki katika sogozi hadi kufikia muda huu ambapo nakuja na burudani ya muziki.

Muziki sasa, kuna ladha za muziki ambazo japo unaweza kuziita ni za zamani lakini ukizisikiza leo bado utasema huu ulikuwa ndo muziki. yeah na miaka hii sasa upate fursa kama yangu unasikiza huku pembeni una uhakika wa kufurahisha mwili na mkononi umekumbatia chupa ya safari inayoogopa ukungu, ni furahiday leo na kila mmoja wetu ni mzuri na kama huna mashaka na uzuri wako tembea mtupu

Burudika leo ni furahiday na usiifanye siku hii kuwa ngumu sana


Boringo naipenda sana asante kwa mziki mzee wa saa mpya
 
Ndio shemeji japo nategemea ninapo enda kujifunza ninatakiwa nikutane na mtu alie nizidi uwezo wa kiutendaji ili niige au nijifunze toka kwake lakini ninapo onana na mtu ambae tuko sawa tunajikuta yunakosa cha kufundishana
Wataalamu wetu wengi hawana practical, na hili ni tatizo kubwa sana

Pole shemeji
 
Wataalamu wetu wengi hawana practical, na hili ni tatizo kubwa sana

Pole shemeji
Asante shemeji ila ndo watu tunategemea watuvushe vijana tufike hadi hatua ya kujiajiri kama watalamu nilio pata nafasi ya kutembelea mabanda yao nimesikitika maana Maelezo yao ni ngumu kutuvusha tunapo takiwa kufika

Nimefika hadi banda shirika moja la serikali wananipa majibu ya kukalili badala ya kunipa majibu ya swali walilo ulizwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom