Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Nawe piaHivi hizo Pound alizouzwa Neymar Kibongo bongo ni sawa na Sh Ngap?
Asubuhi njema..
Nawe piaHivi hizo Pound alizouzwa Neymar Kibongo bongo ni sawa na Sh Ngap?
Asubuhi njema..
Asante shemeji, msimu ujao nitafuatilia kwa makini sana, nataka niwe mkulimaAsante shemeji karibu ushiriki nawe uweze kujifunza baadhi ya vitu
Mzima Mndali.. MamboSakayo mzima
Hili ndio neno LA bwana ,aaamiinHeri walio masikini wa roho, maana ufalme wa mbinguni ni wao
Heri wenye huzuni maana hao watairithi nchi
Heri wenye njaa na kiu ya haki maana hao watashibishwa
Heri wenye rehema maana hao watapata rehema
Heri wenye moyo safi mana hao watamwona Mungu
Heri wapatanishi mana hao wataitwa wana wa Mungu
Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki maana ufalme wa mbingu ni wao
MATHAYO:5:3:10
Mbarikiwe sana muwe na asubuhi iliyo njema kwenu![]()
Mwambie aje na Mr xBaba D wangu jamaan mbona haupounataka nikufwe au umeenda wapi lakini mkeo sijui kitu ebu fanya urudi tu nakumiss jamaan lee wangu
![]()
Happy born day to him...NUKUU YA LEO
Change will not come if we wait for some other person or some other time. We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek.
Mabadiliko hayatokuja kama tukisubiri watu wengine au muda mwingine, sisi ndio tumekuwa tukisubiriwa, sisi ndio mabadiliko yaliyokuwa yanatafutwa
Haya maneno yamewahi kutamkwa na mwanasheria, mwalimu wa sheria na Rais wa 44 wa Taifa la marekani Bw. Barack Hussein Obama.
![]()
Barack Obama alizaliwa tar. Kama ya leo 4/8/1961 Katika mji Honolulu-Hawaii miaka 2 baada ya kuwa jimbo la 50 kuwa ndani ya muungano wa majimbo ya marekani.
Barack obama amekuwa rais wa kwanza mmarekani mweusi kukaa na kufanya kazi ndani ya ofisi maarufu ya oval office na white house kwa ujumla.
Obama amezaliwa na mama mzungu na baba mwafrika kutoka kenya barack obama sr.
Obama atakumbukwa kwa kuwa na utawala wenye mafanikio na kurudisha taifa la marekani katika nafasi yake baada ya kuporomoka kiuchumi kutokana na vita vya mashariki ya kati.
![]()
Utawala wa obama umefanya mengi katika ulinzi wa marekani ikiwa ni pamoja na kumuuwa mtu walieamini ni gaidi no 1 duniani Osama bin Laden.
Obama amechukuwa Tuzo ya Nobel mwaka 2009 "peace prize" kwa kutengeneza na kujenga diplomasia ya kimataifa na ulimwengu kwa ujumla.
Obama ana mke mmoja ( michelle ) na mabinti 2 ( malia na sasha) .
Obama alikuwa role model wangu toka nimemfahamu hadi leo hasa namna ya kudeliver speech na audience confidence. The man is good in every aspect you know in politics..
Out of politics; he's also a caring dady of two applaudable daugheters..
![]()
Kuna mengi ya kuandika kuhusu obama lakini muda hautoshi....
Happy born day BO
Karibu sana kwenye kilimo mi mwaka Jana nilitembelea maonyesho ya Lindi nilijifunza baadhi ya vitu na kuna vitu nataka niongezee leoAsante shemeji, msimu ujao nitafuatilia kwa makini sana, nataka niwe mkulima
Mi Niko poa kabisa habari za ujenzi wa TanzaniaMzima Mndali.. Mambo
Ni pouwaa kabisaaMi Niko poa kabisa habari za ujenzi wa Tanzania
Asante tumshukuru atupae pumziNi pouwaa kabisaa
Yuko kwa Queen yule mchajisha simuNamtafuta Baba D wangu jamaan simuoni sina taarifa zozote akija naombeni mumwambie mkewe namtafuta nimemmiss sana na ninampenda sana lee wangu me shunie![]()
Shukrani mkuuNawe pia mpendwa wetu
AminaAsante tumshukuru atupae pumzi
Sijambo kabisaaaa sijui wwJambo we mtoto wa magufuli
Hali yako mrembo wa TShukrani mkuu
Watu wanalia wivuuNaona sakayo amekuja na babu then wameondoka na babu...
Wewe muache tuu
Kiruuuuu, mie chalii yakeHali yako mrembo wa T
Hongera sana shemejiKaribu sana kwenye kilimo mi mwaka Jana nilitembelea maonyesho ya Lindi nilijifunza baadhi ya vitu na kuna vitu nataka niongezee leo
Acha uchocheziWatu wanalia wivuu