Ndio kinachofuataView attachment 557595Sijui na nipashe nao watafungiwa, kwa kuweka picha za Marais ukurasa wa mbele
Nilale ili wewe ifanyike? Maana wewe hujalala au wewe 'Mwizi'?Ulale



Umenogewa mjukuu mwee... Hujambo?Shem Lee kumekucha njoo tuletee mr X
Za KiVadimir.Leo nataka tukapige punch za ki-russia..
Let's go..
Nzuri Shululu za kwako?Za asubuhi familia ya makapuku
Nzuri kabisa, vip pande hizo mzeewakungoaNzuri Shululu za kwako?
Oooh maama.
Huku poa tu... Za huko?Nzuri kabisa, vip pande hizo mzeewakungoa
Nzuri kabisa, kumekucha kwa mapambano mengine tenaHuku poa tu... Za huko?
Hapa kazi tuNzuri kabisa, kumekucha kwa mapambano mengine tena
Pamoja sana mdauShukrani mkuu
Halafu hicho kitabu cha Angels and Demon nadhani ndicho kimetumika kutengeneza filamu ya Angels and Demon