Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Asante kwa magazeti shemejiView attachment 557623Sina la ziada kutoka magazetini
Nawatakieni ijumaa njema
Asante kwa magazeti shemejiView attachment 557623Sina la ziada kutoka magazetini
Nawatakieni ijumaa njema
AiseeLeo katika Historia
1958 - Chati ya muziki ya " Billboard hot 100 " yaanza rasmi huko Marekani.
HBD ObamaLeo katika Historia
1961 - Rais Barrack Obama anazaliwa.
Ni Rais wa 44 wa Marekani.
Alikuwa jeuri sanaLeokatika Historia
1974 - Killy Gonzalez anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa klabu za Valencia, Inter Milan na Timu ya Taifa ya Argentina.
Never say NeverNever
.....
Asante kwa historiaNaitwa Jimena Jimenes nawatakia weekend njema yenye furaha tele! Tukutane tena kesho katika meza hii ya magazeti
T G I F
Lakini mkaliAlikuwa jeuri sana
Pamoja sana shemejiAsante kwa magazeti shemeji
Asante ankali kwa historiaNaitwa Jimena Jimenes nawatakia weekend njema yenye furaha tele! Tukutane tena kesho katika meza hii ya magazeti
T G I F
Shemeji nimetingwa sana nikitulia nita endelea na utafiti hewaPamoja sana shemeji
Nasubiri utafiti hewa
Nahisi kama unanikimbiza bhana...Babu ujue bado nahitaji uwepo wako....
Wivu sina ila roho inauma...Babu nini teenaa
Leo katika Historia
1924 - Mahusiano ya Kidiplomasia kati ya Mexico na Urusi yaanzishwa.
YapLakini mkali
Pamoja shemejiShemeji nimetingwa sana nikitulia nita endelea na utafiti hewa
Za uzima lakini shemejiPamoja shemeji