Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Usisherehekee wewe unatumia wineLeo siku ya Beer Duniani..
![]()
![]()
Usisherehekee wewe unatumia wineLeo siku ya Beer Duniani..
![]()
![]()
Leo siku ya Beer Duniani..
![]()
![]()
Tanzania ni safariTOP TEN MSHTUKO.
Kila ijumaa ya kwanza ya mwezi August huwa siku ya beer ya kimataifa. Hii siku imeanza kusherekewa tokea mwaka 2007 kwa kutambua mchango wa watumiaji wa beer katika uchumi wa dunia.
Kufikia mwaka 2020 mauzo ya beer yanategemewa kufikia usd 688.4 billion sawa na Tsh. 1,535,132,000,000,000.00, yaani zaidi ya trilion Elfu Moja na miatano.
sasa leo kwa mshtuko naleta zile beer 10 bora, je kama wewe ni mdau beer yako imetokea? most selling beer in the world.
Shukrani sana mkuu1/Jerry Seinfrld
ana umri wa miaka 64![]()
Ukiangalia filamu zake unaweza kufikiri ni kubwa jinga tu kama Le Mutuz ila elewa ni maogizo tu na ndo kazi inayomweka mjinii![]()
![]()
Ana madili kibao
Anatajwa kuwa na utajiri wa USD 850 milion (now ushafika km dola 1 bilioni)
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane Jumatatu
Mwisho
......
Shukrani le bossNamba 1,
Snow.
Pamoja na mauzo yake kuwa katika nchi moja, snow ndio bia ya mauzo mengi na maarufu katika sayari hii. hii beer inauzwa nchini china. hii bia unauza ujazo wa 573% duniani toka mwaka 2005. hii beer ina maji sana na corbonate nyingi .
hii beer imekuwa na mauzo makubwa kwa kuwa inauzwa bei ya chini sana.lita moja ya snow inauzwa kwa USD 1 tuu.
Hii bia ina kilevi cha 4.3% tuu.
Asanteni sana wakuu.
mimi sio mzee wa Top Ten ila nimefanya suprise manake mimi nilikuwa mdau wa beer enzi hizooooooo.
GoodNdio shemeji japo nategemea ninapo enda kujifunza ninatakiwa nikutane na mtu alie nizidi uwezo wa kiutendaji ili niige au nijifunze toka kwake lakini ninapo onana na mtu ambae tuko sawa tunajikuta yunakosa cha kufundishana
Pole sanaAsante shemeji ila ndo watu tunategemea watuvushe vijana tufike hadi hatua ya kujiajiri kama watalamu nilio pata nafasi ya kutembelea mabanda yao nimesikitika maana Maelezo yao ni ngumu kutuvusha tunapo takiwa kufika
Nimefika hadi banda shirika moja la serikali wananipa majibu ya kukalili badala ya kunipa majibu ya swali walilo ulizwa
AiseeTuna kazi kubwa sana, wenzetu wmebobea sana kwenye tafiti, lakini sua tu mtu anamaliza chuo hajui ubora wa udongo wa Tanga na iringa, ni masikitiko sana
Na kwako pia mtaasisiUsiku mwema watu wema mliomo humu
Sawa mkuu
Acha uchochezi basiUmekumbuka nini?
Asante nyageiPole sana
Asante mkuuNi salama kabisa mkuu
Tuwavumilie tu maana niliyo kutana nayo yatosha kusema watalamu wetu wanahitaji kujitambua sio kwa walivyo sasaTuna kazi kubwa sana, wenzetu wmebobea sana kwenye tafiti, lakini sua tu mtu anamaliza chuo hajui ubora wa udongo wa Tanga na iringa, ni masikitiko sana
Morning sakayoUlinitoroka ukaja humu eeh...
Morning