5/John Grisham
Alizaliwa Februari 22 mnamo mwaka 1955
Kama kwenye uzi wa rafiki yangu ONTARIO kuhusu FOREX mtu ulikuwa/upo mstari wa mbele kama tai ya mgambo halafu humjui huyu mtu basi wewe hujui kitu uhusu forex na hata vitabu hujasoma ila unatuzuga tu ....tumeshakushtukia!!!
Huyu ni msomi wa masuala ya Business Administration pia jamaa kapiga sheria hivyo ni Lawyer mzuri tu na ukidhulumu biashara zake atakuburuza mahakamani yeye mwenyewe
Kitabu chake cha The Firm ndo kilichobamba zaidi ambayo kinanwelezea Mwanasheria kijana(young attorney) na masahibu yake ila ni fiction tu au labda ni kisa cha kweli anayejua ni yeye
Pia kaandika Learn CFD/Forex Trading with a top broker
Jamaa ni noma