Makapuku Forum

Makapuku Forum

Haya ndio maneno ya kusikia binamu obe atakuwa kwa mama ashura wake au kule kwa mmama anapochaj simu yake na simu atakuwa ameshapokonywa

.....maneno kama haya huwa yananikumbusha nimekaa kwa mangi nakula Safari lager ya baridi huku namsikiliza le jenerali Ramadhan Massanja Banza Stone (pka) akiimba ...°√,majungu si mtaji useme utajirikeeee eeee... We miss Banza .
 
Yesu akawaambia hamkupata kusoma katika maandiko

Jiwe walilokataa waashi, hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni, Neno hili limetoka kwa Bwana, nalo ni ajabu machoni petu

Kwa sababu hiyo nawaambia, ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapeaa taira lingine lenye kuzaa matunda yake

Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika vunjika, naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki.

MATHAYO:21:42:44

Mbarikiwe jamaan muwe na usiku mwema nawapenda sana
 
Amen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom