shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Aisee [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]....wewe ukitambulishwa utataka upige na picha , utasubiri sana kutambulishwa
Aisee [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]....wewe ukitambulishwa utataka upige na picha , utasubiri sana kutambulishwa
Asante T tunakupenda pia jamanNakupenda pia shem...
Me shemela ndio mkewe ujue nalala nae naamka nae kwahiyo unanibishiaThubutu
Humu yuko founder wa makapuku bitoz a.k.a madengeeKumbe Madenge yule bichwa chogo wa gazeti la Sani yupo humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Mchochezi shemela kwenye ubora wakoObeeeeeeee [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Umeona [emoji3][emoji3][emoji3]
Nenda kale "the ndi ndi "
Nipoooo shemela jamanVip shemela si upo lakini au haupo
Mpambe nuksi weweBitoz anakuita [emoji23]
Kuhesabu nanhiii
Binamu yangu mimi apa jamaan miss u ebu kwanza usisahau nyimbo niliyochagua iniburudishe na Baba D wangu nikiwa juu ya kifua chake [emoji4].....maneno kama haya huwa yananikumbusha nimekaa kwa mangi nakula Safari lager ya baridi huku namsikiliza le jenerali Ramadhan Massanja Banza Stone (pka) akiimba ...°√,majungu si mtaji useme utajirikeeee eeee... We miss Banza .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....nikikaacha watanitafuta wanipime mikojo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alivyokuja mjini na kamba mguuni woiiiiKaanza lini kukufukuza, hivi unajua Obe mimi ndio nimempokea hapa mjini
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Me shemela ndio mkewe ujue nalala nae naamka nae kwahiyo unanibishia
Cuzoo[emoji137]Nipoooo shemela jaman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....sio mpendwa tu, muite mrembo hata kamati ya nusra inalijua hilo.
Yaani mshaacha ile kampeni ya Magu Baki mnataka kuanza Obe aachike
Na kwako TWakuu..
Muwe na usiku mwema.
Utanivunjia ndoa ujue MTU gn wewe hujui kula na kipofu?!![]()
Ondoa shaka
Nimemtunzia
....