Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
Vizuri sana baba wawiliNimeliona mkuu
Vizuri sana baba wawiliNimeliona mkuu
Tukalale sasa, sio kwa cheko hiloHahaaaa
[emoji134] [emoji134]Nini Husna wa Madenge na Obe
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Madenge lazima umtaje tuu..
Unafikiri kusahau begi kwa mtu ni simple simple eeh .
Saa nyingiii... Nakusubiria wewe apoUmeshaanda maji?
Mpaka upigiwe simu, wewe sio mtoto bossHahaaaa [emoji3][emoji3]
Baby kanipigia simu nirudi..
NimeshashukaAisee, panda mlima tu
Upo we mtuHata mimi nimeona
Alikuwa anabeep
R.I.p banza.....maneno kama haya huwa yananikumbusha nimekaa kwa mangi nakula Safari lager ya baridi huku namsikiliza le jenerali Ramadhan Massanja Banza Stone (pka) akiimba ...°√,majungu si mtaji useme utajirikeeee eeee... We miss Banza .
MmmmhMpaka upigiwe simu, wewe sio mtoto boss
Ntampeleka kwa mjumbe huyo mpendwa wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] km una mimba au LA.....nikikaacha watanitafuta wanipime mikojo
Basi pamoja sana niwa age tu tukijaaliwa tenaUkionekana tu mwandiko wako basi umeonekana vyema.
Ni salama kabisa huku
Hahaha, unawaza mbali sana mkuuHuo ni uchovu wa beach na shemeji yangu linamo
Mzima weye? Umeadimika? ? Kwa nini?Hivi Nyagei anajitakia mema kweli?
Hili ndilo neno LA bwana[emoji120][emoji524] Yesu akawaambia hamkupata kusoma katika maandiko
Jiwe walilokataa waashi, hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni, Neno hili limetoka kwa Bwana, nalo ni ajabu machoni petu
Kwa sababu hiyo nawaambia, ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapeaa taira lingine lenye kuzaa matunda yake
Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika vunjika, naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki. [emoji524]
MATHAYO:21:42:44
Mbarikiwe jamaan muwe na usiku mwema nawapenda sana [emoji120]
Mpaka JpiliFungate[emoji4]
Love youuu kipenzi changuu[emoji7] [emoji7] [emoji7]I missed you more my wife material