Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Google kiongoziWakuu mko poa ??
Namtafuta mama D na kivuruge wake
Google kiongoziWakuu mko poa ??
Namtafuta mama D na kivuruge wake
Tuko pamoja mfugaji6/Stephen King
Alizaliwa Septemba 21 mwaka 1947![]()
Huyu jamaa alijikita kuonesha migogoro ya kitabaka na utamaduni tangu akiwa bwana mdogo
Ni mwandishi mzuri wa vitabu![]()
Kitabu chake cha The Rest Stop ndio kilichobamba zaidi maana alipangilia mambo vizuri kuanzia wahusika hadi stori nzima![]()
Ila pia kuna:
It
The Shining
Carrie
The Stand
..................................
Zitaendelea baadaye
AiseeNipo nae Baba D hata usiponiona kapuku nilipo yupo alipo nipo mimi
Agoogle vipiii na wakati tupoGoogle kiongozi
Usiofuu mama D mbona utanichokaNiko apa mume za wewe usitukimbie hivyo jamaan
NtawapataGoogle kiongozi
Na kweli hujiweziBinamu obe naomba nyimbo ya nay wa mitego inaitwa sijiwezi ituburudishe na Baba D wangu![]()
Haya ndio maneno ya kusikiaUsiofuu mama D mbona utanichoka
Binamu wake yuko wapi
binamu obe atakuwa kwa mama ashura wake au kule kwa mmama anapochaj simu yake na simu atakuwa ameshapokonywaKwa mama ashura tena shemela binamu anipeleke kufanya nini tena jaman

Kuna mda aliaga amesema badae atarudiChizi yuko wapi au kashajiua ?
Hahaha haya shem waneHaya ndio mambo
Nipo wangu, japo umenisusa.Nambie wangu
Hebu nitag ili nami nipitieNilikuwa namsoma mr x aisee mambo yanazidi kunoga jamaan Baba D wangu mie asante sana![]()
Baba D na hizo mambo tofauti![]()
![]()
![]()
![]()
Ukaone vile vya kuzunguruka nyonga
![]()
![]()
Hanipendi ila tunapendanaahiiiiii jamanii yaan binamu wangu hana chake mpaka mda huu na jina ushalisahau .... ila tambua anakupenda na madenge naona anataka kukuteka akili
Aisee nishatoka mie huko juu kabisaHebu nitag ili nami nipitie