Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Baba watotoNzuri mpendwa, za chuga
Baba watotoNzuri mpendwa, za chuga
Nimekumiss mpaka biology yangu imegoma kufanya physical change...Babu wa mieee apaa
Kwema nimeona naitwa nikashangaa kunani??Wewe watu tushakula mbuzi ndio unakuja babu...?
Kwema lakini?
Hahaaaa!Kwema nimeona naitwa nikashangaa kunani??
Tabia ya kula bila kumbakizia babu mmeianza lini??
Yaani mpaka babu aje ndio na wewe uje ?Babu wa mieee apaa
Mi namumunya kisusio...Hahaaaa!
Una meno kwani?
Yaani Nimefurahi kweeeli kukuona jamanii... Nilikumiss mnooo, usinitenge hivyo babu jamanii..... MmwaaahhNimekumiss mpaka biology yangu imegoma kufanya physical change...
Mmmwaaah kuanzia kisiginoni mpaka kisogoni
YaaniYaani mpaka babu aje ndio na wewe uje ?
Mbona nipo jamani?? Kuanzia leo ntakuwa nakusabahi kila siku ili moyo wako upate burudani...Yaani Nimefurahi kweeeli kukuona jamanii... Nilikumiss mnooo, usinitenge hivyo babu jamanii..... Mmwaaahh
dadakeeeBabu wa mieee apaa
hakuna kitu kinacholiwa na binadamu mi nisikile... hata chura nakula...Mtura unapiga?![]()
Upooo wapiii babu lakinii... Kwa nini umenichoka hivyo miee mtoto wa babu mwenzioooMbona nipo jamani?? Kuanzia leo ntakuwa nakusabahi kila siku ili moyo wako upate burudani...
Ili mradi tu kusiwe na mtu atakayeumia kwa wivu
Shem akeedadakeee
Tufanye tumbo lako ni Halmashauri tuu..hakuna kitu kinacholiwa na binadamu mi nisikile... hata chura nakula...


Hahahahakuna kitu kinacholiwa na binadamu mi nisikile... hata chura nakula...
Nipo bhana... ushasahau nilipokuambia nilipokuwa??Upooo wapiii babu lakinii... Kwa nini umenichoka hivyo miee mtoto wa babu mwenziooo
Chura wa Kihantsi... LOLHahaha
Huyo chura veepe