Makapuku Forum

Makapuku Forum

7/Haruki Murakami
25f1d22273f1ef839e2859ecaa383aea.jpg
de020283ade17ab37fa6e1660aa391d3.jpg

Hili ni jina tu jamani huyu jamaa anaweza kuruka kama hamuamini mpeni kamba muone anavyoruka hadi staili ya mkasi
Ni jina tu la Kijapan lenye maana nzuri tu kama ilivyo Takuma na Kumamoto sio matusi kwao
Alizaliwa Machi 12 mnamo mwaka 1949 huko Japan
Huyu jamaa ni balaa huko Asia kiasi cha kushinda World Fantasy Award mwaka 2006
Anakubalika hadi huko kwa Wazungu
10dbb4277af4e28fee1cc0079d6831f7.jpg
968196bc28835d60130cd9414828b1d0.jpg
e332a4bdc7e91e05d38734af0dd412f2.jpg
Vitabu vyake vimetafsiriwa katika lughazaidi ya 50 duniani
Ameuza mamilioni ya nakala duniani kote na kuingiza mkwanja wa maana
Kitabu chake cha 1Q84 chenye kurasa 1,600 ndio kilichoitikisa dunia kwa utunzi wake uliotukuka
.......
.
 
6/Stephen King
e7a85e4d4db4bf0c01a12fe8b0b3c6a4.jpg
0b49551a30a655359af04a8aff3a0bf4.jpg
Alizaliwa Septemba 21 mwaka 1947
Huyu jamaa alijikita kuonesha migogoro ya kitabaka na utamaduni tangu akiwa bwana mdogo
Ni mwandishi mzuri wa vitabu
5080efd6699904c1831689fea969e680.jpg
26e46348d20caf055a0a4411504b69c8.jpg
8c2b2906a262cfdd19177fb1440b9c2f.jpg
Kitabu chake cha The Rest Stop ndio kilichobamba zaidi maana alipangilia mambo vizuri kuanzia wahusika hadi stori nzima
Ila pia kuna:
It
The Shining
Carrie
The Stand

..................................
Zitaendelea baadaye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom