Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,738
- 12,428
mzima wa afya mkuu, mambo tu yamekuwa mengiUlipotea Peter, mzima!
mzima wa afya mkuu, mambo tu yamekuwa mengiUlipotea Peter, mzima!
How are youGoodmorning Madam
Nzuri shemeji yangu mzima weweHabari shemeji!
Sie wazima kabisaGoodmorning to you too... Mmeamkaje wapendwa kapukuz?
YeahhhMkuu naona uko njema
Poa sana jimena, waendelea je dadanguYeahhh
Mambo vipi??
Niko sawa sanaaaPoa sana jimena, waendelea je dadangu
Nafrahi kukuona jukwaani mkuuNiko sawa sanaaa
Hata mimi nimefurahi piaNafrahi kukuona jukwaani mkuu
Tafadhali mkuu naomba uniambie basi.Watajuaje
poa, aje huko?Safi kaka, nambie!
Maji ukiyavulia nguo???