Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,269
Ni kweli, but ulikuwa na totoz vichaa hadi unajiuliza vyatokea sayari gani!!! Warundi+vinyarwanda hapo vilikuwepo sanaUtakuwa ulifungiwa ...sasa hivi kuna ukumbi wa disco unaitwa Las Vegas iliyopo Opp na Uhazili na mwimngine unaitwa shimoni...ila kutafuta ghorofa Tabora ni sawa na kutafuta nyota angani mchana!

