Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Weka picha tuhakikishe huo ukichaa wakeKichaa aje fanya nin sasa
Weka picha tuhakikishe huo ukichaa wakeKichaa aje fanya nin sasa
Najua una upendo wa kawaoda sizzyaoo7 anataka uwe wake mazimaSasa kwanini nimchukie?? Sizzya007 ni kapuku mwenzangu au umesahau?
Loh.... Kaazi kweli kweliMimi nilinyorosha mikono juu nkaamua awe dada tu, anarusha mateke sana, japo...
Ngoja aje tuhakikisheNajua una upendo wa kawaoda sizzyaoo7 anataka uwe wake mazima
Nitafueahi kuona ukiita mara sweetyy or cjui darling...Ngoja aje tuhakikishe
Acha tuLoh.... Kaazi kweli kweli
Hiyo sio lazima,Nitafueahi kuona ukiita mara sweetyy or cjui darling...
Ahaaa kumbe wew ni type ya wale wakikbali hawasemi ndio bali hutikisa mabega kuashiria ndio!Hiyo sio lazima,
Halafu leo una kampeni gani?? Mbona hulike comments zangu??
Karibu mkosoaji, sio kila kitu utumie akili nyingi kuelewa...uwaonavyo makapuku ndivyo walivyo, hapa ni kijiweni kwao, hujadili mambo yao, kwa mda wao kwa zamu kutegemea na ratiba ya kila mtu, pia kila kundi humu au mtu na mtu huongea mambo yao huku wakijua wafanyacho, kwa mgeni ni ngum kuelewa labda uusome mchezo kwanza.Makapuku kweli ni Makapuku...
Mmejiundia kaforum kenu....
So humu kila mada mnajadili?
Pokea mgeni post #25537Hiyo sio lazima,
Halafu leo una kampeni gani?? Mbona hulike comments zangu??
Hii kichombo iko wap?
Ladba le prezda.Lakini lazima kuna anayenimudu....... Anaenielewa au sio...
Jimena roho mbaya sana huyu dada....Mimi nilinyorosha mikono juu nkaamua awe dada tu, anarusha mateke sana, japo...
Hapana ni she wa ukweli sema ana aibu kuitikia lakini ukimvutia kulee ndo....japo hiyo stail imepitwa na wakatiJimena roho mbaya sana huyu dada....
Nahisi atakuwa shemale.....
Mimi ndo mmiliki mama.Hii kichombo iko wap?
Iko kwao tangaHii kichombo iko wap?
Kwakweli sizzya akishindwa inabidi nijaribu bahati yangu.Hapana ni she wa ukweli sema ana aibu kuitikia lakini ukimvutia kulee ndo....japo hiyo stail imepitwa na wakati
Nitakuja na bro ako ThMimi ndo mmiliki mama.
Iko huku Moshi mbokomu.
Tanga sehemu gan?Iko kwao tanga