Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Hakika...kwa uwezo wa mola tunalisongesha.nzuri sana tu mkuu, tunalisongesha
Hakika...kwa uwezo wa mola tunalisongesha.nzuri sana tu mkuu, tunalisongesha
Pamoja sanaaMia mia sana kabisa my Sister wa ukweli...Pamoja..
ExactlyHakika...kwa uwezo wa mola tunalisongesha.
Hebu mfafanulie jinsia yako ili akate kiu yake ya kukufahamuWatajuaje
Safari njema braza, ufike salama home.On my way back home niliwamiss sana see you the soonest
Braza mie sihitaji zawadi kutoka kwako, labda uniletee mke.Poa ila ole wenu mzikatae tena
Asante, na kwako pia uwe na siku njema braza lil wizzy.Baraka za Mwenyezi Mungu ziwashukie katika kila Jambo ambalo Makapuku mtaenda kulifanya siku hii ya leo.
Asubuhi njema
lil wayne.
Labda tufanye hivyo, maana hamna namna.Safari hii akileta itabidi hzo zawad zake tuzipitishe kwa mchungaji jambilo azitakase kwanza
Hahahaaa... Asante kwa kuliona hilo bro.25,460 replies and counting. Makapuku kiboko haki ya nani. Utafikiri tupo kipindi cha mvuvumko (renaissance) hapa JF. Inafurahisha sana. We are a force to be reckoned with...
Asante braza, siku njema na kwako pia.Kuna wengi walitamani sana kuiona siku hii ya leo kama ilivyo kuwa kwangu na wewe..Lakin kwa mapenzi ya Muumba imeshindikana na wametangulia mbele za haki...Kwa uzima na afya ulionayo asubuh hii usisite kutumia walau dk 1,2 kutoa shukrani kwa aliye juu na ukimuomba akuzidishie rehema zake katika siku hii ya Leo...Muwe na Jtatu njema ndugu zangu..
Niaje P?kumekucha wajameni
Safi kaka, nambie!Za j3 bro
poa poa kwema hukoNiaje P?
youngblood anatakamo tu.Hebu mfafanulie jinsia yako ili akate kiu yake ya kukufahamu
Huku kwema kabisa bro, habari ya kazi vipi?poa poa kwema huko
Huku kwema kabisa bro, habari ya kazi vipi?
Mkuu naona uko njemaHuku kwema kabisa bro, habari ya kazi vipi?
Ulipotea Peter, mzima!mishe ziko poa sana tu, vipi upande wako