Wazima wifi. Sijui wewe wikiendi yako imeisha salama na sasa una nguvu mpya ya kuwajibika??Humu ndani wazima?
mchana mwema
Wewe si unajifanya una roho mbaya sana!!!.
Shukrani mkuu...ubarikiweMusolin5 karibu lunch
Weka picha.Wewe si unajifanya una roho mbaya sana!!!.
Nasikia dogo anaokota makopo mitaa ya tandale.
Mapenzi yamemchanganya.
Unataka nimlete umuongezee machungu ya mapenzi au unataka utoe ya moyoni!?Weka picha.
Hakikisha unamleta hapa haraka iwezekanavyo
Aje banaaaUnataka nimlete umuongezee machungu ya mapenzi au unataka utoe ya moyoni!?
Niaje mkuuShukrani mkuu...ubarikiwe
Hhahaha.Ukishamleta ndo tutajua
Cc sizzya007
Akija hapa hukawii kumpiga za mbavu....Aje banaaa
Manake sio kwa kummiss huku
Sasa hutaki au???Hhahaha.
Tutaona.
Wewe nakujua unabana sana.Sasa hutaki au???
Siwezi kufanya hivyoAkija hapa hukawii kumpiga za mbavu....
Lakini lazima kuna anayenimudu....... Anaenielewa au sio...Wewe nakujua unabana sana.
Aaaah kumbe unampenda kusema ndio ni tatizo!Weka picha.
Hakikisha unamleta hapa haraka iwezekanavyo
Kichaa aje fanya nin sasaAje banaaa
Manake sio kwa kummiss huku
Mimi nilinyorosha mikono juu nkaamua awe dada tu, anarusha mateke sana, japo...Wewe nakujua unabana sana.
Sasa kwanini nimchukie?? Sizzya007 ni kapuku mwenzangu au umesahau?Aaaah kumbe unampenda kusema ndio ni tatizo!