Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Good morning brother.Goodmorning all kapukuz
Salama kabisa brother.Habari ya asubuhi wapendwa!
Niko mzima wa afya braza, habari ya wewe vipi?Salama kabisa brother.
Natumai umeamka salama salmin.
Nipo poa kabisa ndugu.Niko mzima wa afya braza, habari ya wewe vipi?
NiajeeeNipo poa kabisa ndugu.
Ni siku nyingine tena.
Poa brother.Niajeee
Goodmorning to you too... Mmeamkaje wapendwa kapukuz?Habari ya asubuhi wapendwa!
Good.morning all
Kumekuchaaaaaaaaa
Goodmorning all kapukuz
Poa poa aseeGoodmorning to you too... Mmeamkaje wapendwa kapukuz?
Kweli kabisa.Tuwaombee wadogo zetu wa kidato cha6 mitihani mwema....
Unakumbuka ni lini ulifanya paper form6?
Karibu sana mkuu mshana jrOn my way back home niliwamiss sana see you the soonest
Poa ila ole wenu mzikatae tenaKaribu sana mkuu mshana jr
Usisahau zawadi.
Paper ya form 6 ina tension kubwa sana asee, maombi hapo ni muhimuTuwaombee wadogo zetu wa kidato cha6 mitihani mwema....
Unakumbuka ni lini ulifanya paper form6?
Hahhaaaa.. Uangalie na zawad za kuleta banaPoa ila ole wenu mzikatae tena
Zawadi ni zawadiHahhaaaa.. Uangalie na zawad za kuleta bana
Sio vibudu, kama ni kuku ulete wazimaZawadi ni zawadi