briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Nikutakie na wewe siku njema piaBaraka za Mwenyezi Mungu ziwashukie katika kila Jambo ambalo Makapuku mtaenda kulifanya siku hii ya leo.
Asubuhi njema
lil wayne.
Nikutakie na wewe siku njema piaBaraka za Mwenyezi Mungu ziwashukie katika kila Jambo ambalo Makapuku mtaenda kulifanya siku hii ya leo.
Asubuhi njema
lil wayne.
Hatukati mkuu.Poa ila ole wenu mzikatae tena
Itajulikana tuuSio vibudu, kama ni kuku ulete wazima
Safari hii akileta itabidi hzo zawad zake tuzipitishe kwa mchungaji jambilo azitakase kwanzaHatukati mkuu.
Habari za msata?Itajulikana tuu
Unatokea msata au ni ile safari yako ya nje ya nchi??On my way back home niliwamiss sana see you the soonest
Asante sanaBaraka za Mwenyezi Mungu ziwashukie katika kila Jambo ambalo Makapuku mtaenda kulifanya siku hii ya leo.
Asubuhi njema
lil wayne.
Amenasante na kwako pia mkuuKuna wengi walitamani sana kuiona siku hii ya leo kama ilivyo kuwa kwangu na wewe..Lakin kwa mapenzi ya Muumba imeshindikana na wametangulia mbele za haki...Kwa uzima na afya ulionayo asubuh hii usisite kutumia walau dk 1,2 kutoa shukrani kwa aliye juu na ukimuomba akuzidishie rehema zake katika siku hii ya Leo...Muwe na Jtatu njema ndugu zangu..
amenKweli kabisa.
Mwenyezi mungu awatangulie Form 6 popote walipo Tanzania.
Amen.
Asante na kwako pia kaka akeKuna wengi walitamani sana kuiona siku hii ya leo kama ilivyo kuwa kwangu na wewe..Lakin kwa mapenzi ya Muumba imeshindikana na wametangulia mbele za haki...Kwa uzima na afya ulionayo asubuh hii usisite kutumia walau dk 1,2 kutoa shukrani kwa aliye juu na ukimuomba akuzidishie rehema zake katika siku hii ya Leo...Muwe na Jtatu njema ndugu zangu..
Za j3 brokumekucha wajameni
Pamoja sana ndugu yangu..asante na kwako pia mkuu
Mia mia sana kabisa my Sister wa ukweli...Pamoja..Asante na kwako pia kaka ake
nzuri sana tu mkuu, tunalisongeshaZa j3 bro
mia mia mkuuPamoja sana ndugu yangu..