Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Nashukuru binamuMwenyewe nakupenda sana maana ndo wewe peke yako unayependa kuona nina furaha. Wengine wote humu huwa nawaangalia kimashakamashaka sana

Nashukuru binamuMwenyewe nakupenda sana maana ndo wewe peke yako unayependa kuona nina furaha. Wengine wote humu huwa nawaangalia kimashakamashaka sana

MarhabaaaCjambo shikamoo
Unao ila huo wa kunywesha madudu watoto hapana.....mimi najua huwezi kunisikiliza maana ni mmoja ya wale ambao huwa nawaangalia kwa mashakamashaka. Hivi mimi sina hata ushauri mzuri hata mmoja jamani?
Msalmie mkeoUsiku mwemaaah
Bayern 0 Liverpool 2Bayern kashapigwa na Liverpool, Mane
Mohammed sallahBayern kashapigwa na Liverpool, Mane
Itakuwa hivyo, maana wanapiga mpira wa uhakikaLiva hizi mechi za nzengo utasema katiwa ndimu ngoja ligi ianze sasa analegea kama pizza ya bamia
Karibu mkuu, hapa kwema kabisaMakomredi kwema?
Najaribu kuimagine mjukuu wangu ...hio sauti inakuwajeila shemela wewe hivi kwa nini huachi uchochezi jamani
Shemela jamaan hivi unacheka nini lakini jamaan
Afadhali na wewe umeliona hiloNajaribu kuimagine mjukuu wangu ...hio sauti inakuwaje
safi mkuuKaribu mkuu, hapa kwema kabisa
Obe mwenyewe umetoka mafichoni kwa beibe wa kigoma mwisho wa reliHoping tuko poa kabisa wadau. Kipengele cha muziki kitakujia baada ya kubwa 10, naamini itachukua dakika 15 na usiku huu tutadunda ndani ya elo o' vii ii.
Nyie ni watu muhimu so hakuna cha surprise ni surplus tu humu KF
We Obe ni muuaji unajua.....baba kakumbuka familia, hasa mama yao😀, wasipolala wape piriton , au restoril na kama ni wabisha maziwa yachanganye na vodka watalala umsubiri mumeo
Muziki: A Fail Not a Fall
Najua hujali kila mara ninapoanza na maandishi yale yale kwenye aya ya kwanza!? Ujue nini, hakuna kitu kigumu kama kusalimia, unaanzaje sasa wakati hujui kama wamekukuta au umewakuta, mimi ukinikuta sianzi kukusalimia na kwa kuwa nimekukuta jioni hii basi ninakusalimia kwa heshima nyingi sana wewe Kapuku mheshimika. Hujambo sana?sijasema ujibu maana kusema hujambo sana sijauliza kama swali eti ujibu.
Kwa sisi tulioanza shule kwa kushika sikio, not sure if my message reachs home here, nasema hivi, enzi zile kuanza la kwanza lazima upitishe mkono wa kulia juu ya kichwa ili ushike sikio la kushoto, kama huelewi, piga picha na kama hata kupiga picha hujui basi nakukaribisha kwenye muziki. Enzi hizo tuna mtihani wa darasa la nne, kwanza nilishindwa kushika sikio mara mbili kisa nina mikono mifupi. Shukuru sana kapuku uko hapa maana ungekuwa na mikono mirefu ungekuwa jela sasa hivi. Hii misemo bhana eti mkono mrefu, mara mkono wa birika. Na kwa sababu mimi ni mkongwe ndo maana sijawashukur wote waliotuamsha kwa Magazeti (shululu , BBC (lee empire , Sala (Shunie ), Historia na Picha (Jimena na Bitoz ), sports (Nyagei )
Nimekumbuka tu mambo ya mitihani ya darasa la nne na namna ilivyokuwa ngumu kufaulu hasa ukizingatia lazima uupige sana umande ndo ufike shule kuwahi namba. Lakini ni jambo zuri tuko hapa na si shule tu hata kwenye maisha yetu ya kazi na yote tunayofanya kumbuka kuwa A Fail means First Attempt In Learning, yaani kama hujashindwa basi hujajaribu, fanya kile unachoona kinafaa kukuletea maendelea ukishindwa haimaanishi ndo mwisho, mlango mmoja ukifungwa basi mwingine uko wazi na kama kuna mlango mmoja tu basi dirisha liko wazi.
Muziki sasa, nani asiyemjua Robert Kelly, R kelly, achana na kashfa zake kama za anko wangu, fuata muziki wake utaupenda, ana tuzo kibao na ni mtunzi mzuri sana na bila kusahau ni mpigaji mzuri wa kinanda. Yeah, ndo maestro wao na ndiye atakayetuburudisha usiku huu.
Asante kwa neno mtoto wa Mama mchungaji

Amen mtumishi, hili ndo neno kubwa na kama ulikuwa akilini mwangu nami leo nimerusha kustep in the name of love

....hawawezi. Wewe hukaoni hako katoto kakubwa kenye macho kama mtoza ushuru wa TRA, kulala mapema hako bila mbinu nilizokupa sahau





Umejuaje shemelaUmefurahi mwenyewe, kama nakuona vile
Woiiiiiii na me leo ila najijua mie binamu nipo kwenye list ya wabaya wako tena nimeandikwa kwa makapenMwenyewe nakupenda sana maana ndo wewe peke yako unayependa kuona nina furaha. Wengine wote humu huwa nawaangalia kimashakamashaka sana