Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Mie mzima kabisa binamu yangu hofu kwako tuNimeipokea aunt yangu, mzima wewe.?
Mie mzima kabisa binamu yangu hofu kwako tuNimeipokea aunt yangu, mzima wewe.?
Za wewe mama jjNambie mae!
Ndo nawabembeleza walale,utankuta nakusubiri baba watotoAsante my love, nipo njiani narudi nyumbani, vip kina JJ wamelala au bado
[emoji133] [emoji133][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
....asingefanana nao ungesema kasingiziwa😀 Mama kasingiziwa mtoto😱Nafurahi kusikia hivyo mke mwee halaf umefanana na watoto wako mke mwee
Ndo nawabembeleza walale,utankuta nakusubiri baba watoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji133] [emoji133]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu....asingefanana nao ungesema kasingiziwa😀 Mama kasingiziwa mtoto😱
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....baba kakumbuka familia, hasa mama yao😀, wasipolala wape piriton , au restoril na kama ni wabisha maziwa yachanganye na vodka watalala umsubiri mumeo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli mke mweee me nmefanana nao sura ila kichwa na miguu vya baba yaoNafurahi kusikia hivyo mke mwee halaf umefanana na watoto wako mke mwee
Poa kabisaZa wewe mama jj
Asante binamu umenisaidia ndo maana nakupenda....asingefanana nao ungesema kasingiziwa😀 Mama kasingiziwa mtoto😱
Mbavu sina mie [emoji23][emoji23][emoji23]Ndo nawabembeleza walale,utankuta nakusubiri baba watoto
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji134] [emoji134] madudu yte hayo c watakufa Obe,najua baba kankumbuka zaidi mama yao ndo najtahid walale kabla hajafika.....baba kakumbuka familia, hasa mama yao😀, wasipolala wape piriton , au restoril na kama ni wabisha maziwa yachanganye na vodka watalala umsubiri mumeo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli mke mweee me nmefanana nao sura ila kichwa na miguu vya baba yao
[emoji120] [emoji120] [emoji120] Asante kwa neno mke mweee[emoji524] Utusamehe deni zetu kama sisi nasi tuwasamevyo wadeni wetu
Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu, kwa ufalme wako ni wako na nguvu na utukufu hata milele Ameeen.
Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nanyi [emoji524]
MATHAYO:6:12:15
Muwe na usiku ulio mwema [emoji120]
Tujifunze kusamehe wapendwa hata kama umekosewa vipi msamehe aliyekukosea ili Mungu atusamehe nasi tuliyomkosea nimejifunza kitu kutokana na neno la leo achia roho we samehe tu [emoji120]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamuona binamu eti nichanganye madudu hayo je wakikufwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] poleMbavu sina mie [emoji23][emoji23][emoji23]