Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Wanakataje tamaa wakati timu aliikuta na ataiachaWachezaji kadhaa wa Barcelona 'wamechoshwa mno' na sakata linaloendelea kuhusu uhamisho ambao huenda ukavuja rekodi ya dunia wa Neymar kwenda PSG, huku wengine wakiwa wamekata tamaa licha ya kumshawishi mchezaji huyo asiondoke. (SPORT)