shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Mungu hawezi kumnyima mtu vyote
Mungu hawezi kumnyima mtu vyote
Ndo gumzo la mitandaoni wiki hii kimataifaMungu hawezi kumnyima mtu vyote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ya nje ni hivi ...hio iliokuwa reseved kwa baba d sijui ikojeSauti yangu anaijua Baba D tu babu
Shemela asipotutaka radhi tunamshtaki hatujal ni binamu yetu wala nini[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
AiseeeHatariiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakujua tu, sema umeacha kunywa, hapo ungekuwa na Heineken sasa sijui ingekuwaje
Ahahahha kama nakuona huko shemela[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hivi mna nini nyie jaman mmekula nini leo naona mmeniamuliaSana!!!
Ni kweliMungu hawezi kumnyima mtu vyote
[emoji15] [emoji15] mna nini leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ya nje ni hivi ...hio iliokuwa reseved kwa baba d sijui ikoje
Kabisa aiseeNdo gumzo la mitandaoni wiki hii kimataifa
Anazidi kuprove Ulemavu mbaya ni wa akili
......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]D chautundu mzima kabisa na mke mwee je
Itakuwa wali maharage + maparachichiHivi mna nini nyie jaman mmekula nini leo naona mmeniamulia
Ugomvi wenu na binamu yenu mimi ni mtazamaji tuShemela asipotutaka radhi tunamshtaki hatujal ni binamu yetu wala nini
BinamuHoping tuko poa kabisa wadau. Kipengele cha muziki kitakujia baada ya kubwa 10, naamini itachukua dakika 15 na usiku huu tutadunda ndani ya elo o' vii ii.
Nyie ni watu muhimu so hakuna cha surprise ni surplus tu humu KF
Hamna chochote[emoji15] [emoji15] mna nini leo
Asante wifee[emoji524] Utusamehe deni zetu kama sisi nasi tuwasamevyo wadeni wetu
Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu, kwa ufalme wako ni wako na nguvu na utukufu hata milele Ameeen.
Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nanyi [emoji524]
MATHAYO:6:12:15
Muwe na usiku ulio mwema [emoji120]
Tujifunze kusamehe wapendwa hata kama umekosewa vipi msamehe aliyekukosea ili Mungu atusamehe nasi tuliyomkosea nimejifunza kitu kutokana na neno la leo achia roho we samehe tu [emoji120]
Poa poa mdauItakuwa wali maharage + maparachichi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.
.
Wadau tukutane kesho
..........
Mkuu heshima kwakosafi mkuu