Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Barikiwa mke mwee [emoji120][emoji120] [emoji120] [emoji120] Asante kwa neno mke mweee
Barikiwa mke mwee [emoji120][emoji120] [emoji120] [emoji120] Asante kwa neno mke mweee
Msikilize binamu uwauwe watoto wako mke mweeUnamuona binamu eti nichanganye madudu hayo je wakikufwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]....asingefanana nao ungesema kasingiziwa😀 Mama kasingiziwa mtoto😱
Asante kwa neno mtoto wa Mama mchungaji[emoji524] Utusamehe deni zetu kama sisi nasi tuwasamevyo wadeni wetu
Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu, kwa ufalme wako ni wako na nguvu na utukufu hata milele Ameeen.
Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nanyi [emoji524]
MATHAYO:6:12:15
Muwe na usiku ulio mwema [emoji120]
Tujifunze kusamehe wapendwa hata kama umekosewa vipi msamehe aliyekukosea ili Mungu atusamehe nasi tuliyomkosea nimejifunza kitu kutokana na neno la leo achia roho we samehe tu [emoji120]
[emoji524] Utusamehe deni zetu kama sisi nasi tuwasamevyo wadeni wetu
Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu, kwa ufalme wako ni wako na nguvu na utukufu hata milele Ameeen.
Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nanyi [emoji524]
MATHAYO:6:12:15
Muwe na usiku ulio mwema [emoji120]
Tujifunze kusamehe wapendwa hata kama umekosewa vipi msamehe aliyekukosea ili Mungu atusamehe nasi tuliyomkosea nimejifunza kitu kutokana na neno la leo achia roho we samehe tu [emoji120]
Uchochezi huu sasaMbavu sina mie [emoji23][emoji23][emoji23]
Muziki: A Fail Not a Fall
Najua hujali kila mara ninapoanza na maandishi yale yale kwenye aya ya kwanza!? Ujue nini, hakuna kitu kigumu kama kusalimia, unaanzaje sasa wakati hujui kama wamekukuta au umewakuta, mimi ukinikuta sianzi kukusalimia na kwa kuwa nimekukuta jioni hii basi ninakusalimia kwa heshima nyingi sana wewe Kapuku mheshimika. Hujambo sana?sijasema ujibu maana kusema hujambo sana sijauliza kama swali eti ujibu.
Kwa sisi tulioanza shule kwa kushika sikio, not sure if my message reachs home here, nasema hivi, enzi zile kuanza la kwanza lazima upitishe mkono wa kulia juu ya kichwa ili ushike sikio la kushoto, kama huelewi, piga picha na kama hata kupiga picha hujui basi nakukaribisha kwenye muziki. Enzi hizo tuna mtihani wa darasa la nne, kwanza nilishindwa kushika sikio mara mbili kisa nina mikono mifupi. Shukuru sana kapuku uko hapa maana ungekuwa na mikono mirefu ungekuwa jela sasa hivi. Hii misemo bhana eti mkono mrefu, mara mkono wa birika. Na kwa sababu mimi ni mkongwe ndo maana sijawashukur wote waliotuamsha kwa Magazeti (shululu , BBC (lee empire , Sala (Shunie ), Historia na Picha (Jimena na Bitoz ), sports (Nyagei )
Nimekumbuka tu mambo ya mitihani ya darasa la nne na namna ilivyokuwa ngumu kufaulu hasa ukizingatia lazima uupige sana umande ndo ufike shule kuwahi namba. Lakini ni jambo zuri tuko hapa na si shule tu hata kwenye maisha yetu ya kazi na yote tunayofanya kumbuka kuwa A Fail means First Attempt In Learning, yaani kama hujashindwa basi hujajaribu, fanya kile unachoona kinafaa kukuletea maendelea ukishindwa haimaanishi ndo mwisho, mlango mmoja ukifungwa basi mwingine uko wazi na kama kuna mlango mmoja tu basi dirisha liko wazi.
Muziki sasa, nani asiyemjua Robert Kelly, R kelly, achana na kashfa zake kama za anko wangu, fuata muziki wake utaupenda, ana tuzo kibao na ni mtunzi mzuri sana na bila kusahau ni mpigaji mzuri wa kinanda. Yeah, ndo maestro wao na ndiye atakayetuburudisha usiku huu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji134] [emoji134] madudu yte hayo c watakufa Obe,najua baba kankumbuka zaidi mama yao ndo najtahid walale kabla hajafika
Umefurahi mwenyewe, kama nakuona vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante binamu umenisaidia ndo maana nakupenda
Msikilize binamu uwauwe watoto wako mke mwee
Mimi sijambo mjukuu wanguSijambo babu sijui wewe
Wala cmuckilizi mieMsikilize binamu uwauwe watoto wako mke mwee
Bayern kashapigwa na Liverpool, Mane
Wala cmuckilizi mie
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] we Obe wewe....hawawezi. Wewe hukaoni hako katoto kakubwa kenye macho kama mtoza ushuru wa TRA, kulala mapema hako bila mbinu nilizokupa sahau