Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Basi mwororoooiKwaajili yake tu nitaenda
Basi mwororoooiKwaajili yake tu nitaenda
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Anazengea mlupooo
Leta majambo dj ObeMuziki utawajia baada ya dakika 15 na leo natupia muziki naoupenda mimi binafsi. Unawajua Slightly Stoopid utawasikia usiku huu
Asante kwa burudani,kukiwa na safari ya kg mkaazime hvo viatu na mashati ww na mjomba wako mtang'aa kweli lazima BH awapokee kwa mikono miwili
[emoji106] kumeninogea kweli humuanhaa kumbe ndio maana..ila sio mbaya
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Nilikuja kuwapa Hi ndugu zangu mkuu aiseeWe jamaa huku umekuja kufanya nini au umekuja kutusalimia chama kubwa makapuku forum
Karibu mzee wa kuwahi viti vya mbele
Hahahaaaaa
Worry out My sis SakayoOkay then.... See you around my Jose
Nanii anamjua seeka manala na freestyle zake kwenye dancing. ...a man from Uganda, enjoy kapuku. ..
Ndio hivyo, siku moja pitia pitia forums nyingine usafishe macho[emoji106] kumeninogea kweli humu
Muziki: Vibration of Love
Ni siku nyingine ambayo kiukweli najifeel love vibration na hii ni kutokana na siku yangu ilivyoanza Jumatatu hii na hadi inapotaka kumaliika kuianza Jnne. Naamini nawe umekuwa na siku nzuri kabisa na ndiyo maana ninakusalimia wewe Kapuku mheshimika na kutosahau kukutell kuwa Jukwaa hili ni bora sana kwa sababu wewe upo hapa. Unataka niseme nini hujasikia kuhusu umuhimu wako hapa?
Kama kawaida, shouting out ain't killing me and hopeful you get no gas tummy nikisema asante kwa shululu kutuhabarisha, Jimena kwa historia, lee empire kwa mengi ambayo sijui nnitaje lipi ujue you rock brother, Shunie kwa sala, mtaasisi mwenzangu Nyagei asante kwa kutuspotisha. Unadhani nitakusahau husna muba , wewe unatembea na moyo wangu, asante kwa hadithi ya kikomando.
Nimesema leo najifeel like living in love vibration haina cha silence hii na ndiyo maana niko happy kumuona tena werrason , you were missed here mukongo, karibu Curious gal mkaribie Mondray mitaa ya Unguja, Tumosa , Clkey mnajijua nyie ni muhimu kwa michango yenu ya hali na mali, demi it's good to see you here, mzeewakungoa unajua tunavyoangaliana kwa jicho la chati, dingimtoto , koncho77 , Transcend lazima ufuatane na Sakayo . sijamtaja nani, labda mdau wa first to reply (asante kwa kuja)
Muziki sasa, kila mmoja anajifeel love kwa namna yake kuanzia kimwili, kihisia, kiimani na kiakili. Huu ndo ubinadamu na wengine tukikatazwa kufeel love tunachukua hatua za kuonesha kuwa lazima tunachohitaji tunakipata. Love is muhimu ndo maana kupitia hili tunasamehe, tunakumbatia, na tunasonga kufurahia maisha.
Usione napenda kukupotezea time yako kwa kuchonga sana, mawazo yangu yako na wewe pamoja na bundle lako. Burudika na vibao hivi.
Na zaidi unaruhusiwa kuwa a slightly stoopid na sio totally stupido huku ukifurahia bendi nzuri ya reggae
Huwa hatumii chemical yoyote ileHa hahahahah, safari ile aunt hataki tena kwenda na mimi nimeiacha. Ni kweli uliweka karikiti? Shunie anasema unyoe
PoaSawa babu
Huyo sio adui ndio maana tumewauziaPesa zitawaponza Chelsea
Unamuuzia adui silaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Sio mbayaNilikuja kuwapa Hi ndugu zangu mkuu aisee
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
PoaNdio hivyo, siku moja pitia pitia forums nyingine usafishe macho
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Hii nyumba ina kila kitu kiasi kwamba kama si mtu wa kutembea tembea unajikuta uko ndani masaa yoteNdio hivyo, siku moja pitia pitia forums nyingine usafishe macho
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Ndio nafahamu mkuu aiseeHii nyumba ina kila kitu kiasi kwamba kama si mtu wa kutembea tembea unajikuta uko ndani masaa yote