Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wa humu nawajuaaa wakiona wenzaoo baby baby roho juuu

Make wengine wana wazeee wanatamani motomoto kama mond

Weeeee mondray usimtesaaa mrembo wetuu
Mineno inavyokutokaaa

Wifi uwe nae makini huyu ana wake wawili na michepuko km sitini hv lakini hajaridhika

Kila anachokiona anakitaka
 
Nawashukuruni mnoo kwa umoja wenu jamanii..

Lee Asante natambua umuhimu wako kwangu, Shunie wewe ndo bega langu wakati wa kulia kwangu... Unajua venye Nakupenda mdogo wangu.... Tumoo na shululu natambua umuhimu wenu mpaka nikinuna mwajua... Nyagei you're the best, we ndo mlinzi wangu.... Mzeewakungoa na Bitoz nashukuru kwa kampani yenu na kujali pia...

Husna na JJ natambua uwepo wenu kuniombea mama mchungaji popote ulipo Nakupenda mamangu.... Sala zako zinafika kwa wakati!!!!

T wangu sio kwamba nimekusahau... Wewe ni wangu tuu.. Mr Obe Ubarikiwe mnoo jamanii jana nimepata nyimbo zakooo.... Wana kapuku kwa ujumla... Nawapenda...

Till next time....

Muwe na jioni muruaaaa
Nawe pia
 
Muziki: Vibration of Love

Ni siku nyingine ambayo kiukweli najifeel love vibration na hii ni kutokana na siku yangu ilivyoanza Jumatatu hii na hadi inapotaka kumaliika kuianza Jnne. Naamini nawe umekuwa na siku nzuri kabisa na ndiyo maana ninakusalimia wewe Kapuku mheshimika na kutosahau kukutell kuwa Jukwaa hili ni bora sana kwa sababu wewe upo hapa. Unataka niseme nini hujasikia kuhusu umuhimu wako hapa?

Kama kawaida, shouting out ain't killing me and hopeful you get no gas tummy nikisema asante kwa shululu kutuhabarisha, Jimena kwa historia, lee empire kwa mengi ambayo sijui nnitaje lipi ujue you rock brother, Shunie kwa sala, mtaasisi mwenzangu Nyagei asante kwa kutuspotisha. Unadhani nitakusahau husna muba , wewe unatembea na moyo wangu, asante kwa hadithi ya kikomando.

Nimesema leo najifeel like living in love vibration haina cha silence hii na ndiyo maana niko happy kumuona tena werrason , you were missed here mukongo, karibu Curious gal mkaribie Mondray mitaa ya Unguja, Tumosa , Clkey mnajijua nyie ni muhimu kwa michango yenu ya hali na mali, demi it's good to see you here, mzeewakungoa unajua tunavyoangaliana kwa jicho la chati, dingimtoto , koncho77 , Transcend lazima ufuatane na Sakayo . sijamtaja nani, labda mdau wa first to reply (asante kwa kuja)

Muziki sasa, kila mmoja anajifeel love kwa namna yake kuanzia kimwili, kihisia, kiimani na kiakili. Huu ndo ubinadamu na wengine tukikatazwa kufeel love tunachukua hatua za kuonesha kuwa lazima tunachohitaji tunakipata. Love is muhimu ndo maana kupitia hili tunasamehe, tunakumbatia, na tunasonga kufurahia maisha.

Usione napenda kukupotezea time yako kwa kuchonga sana, mawazo yangu yako na wewe pamoja na bundle lako. Burudika na vibao hivi.

Na zaidi unaruhusiwa kuwa a slightly stoopid na sio totally stupido huku ukifurahia bendi nzuri ya reggae
 
Kikubwa nachokiona ni kumruhusu pogba awe huru make fella alikuwa anampa kazi ngumu Pogba ...uzuri wa Matic ni uwezo wake wa kushuka nyuma ya mstari na kuzuia mbele ya mstari ....mechi ngumu usishangae mzee anaua 8 na kuwaanzisha wote alafu Pogba anafanya anachotaka uku ikiwa ni advantage kwa lukaku. ...

Kuwa na Matic kikosini ata kama bench una uhakika wa kuambulia chochote ...

Mata anaweza kutengeneza formation nzuri ila atasugua sana ...

Ukweliii.....Wangelimsainii sanchez wa Munich akakutana na fella Pogba angelinoga zaidi uku lukaku akiwa na kazi moja ya kutupiaaa ....

......Ila ni usajili boraa

Ila Matic na Herrera wanakwenda Msimu ujao kuwa destroyer wa mipango ya timu pinzani lakini pia wanakwenda kuwa bodyguard kwa Paul Pogba na sijui Chelsea wamewaza nini kabla Manchester United hawajafikiria hivyo.
Pesa zitawaponza Chelsea
Unamuuzia adui silaha

.....
 
Muziki: Vibration of Love

Ni siku nyingine ambayo kiukweli najifeel love vibration na hii ni kutokana na siku yangu ilivyoanza Jumatatu hii na hadi inapotaka kumaliika kuianza Jnne. Naamini nawe umekuwa na siku nzuri kabisa na ndiyo maana ninakusalimia wewe Kapuku mheshimika na kutosahau kukutell kuwa Jukwaa hili ni bora sana kwa sababu wewe upo hapa. Unataka niseme nini hujasikia kuhusu umuhimu wako hapa?

Kama kawaida, shouting out ain't killing me and hopeful you get no gas tummy nikisema asante kwa shululu kutuhabarisha, Jimena kwa historia, lee empire kwa mengi ambayo sijui nnitaje lipi ujue you rock brother, Shunie kwa sala, mtaasisi mwenzangu Nyagei asante kwa kutuspotisha. Unadhani nitakusahau husna muba , wewe unatembea na moyo wangu, asante kwa hadithi ya kikomando.

Nimesema leo najifeel like living in love vibration haina cha silence hii na ndiyo maana niko happy kumuona tena werrason , you were missed here mukongo, karibu Curious gal mkaribie Mondray mitaa ya Unguja, Tumosa , Clkey mnajijua nyie ni muhimu kwa michango yenu ya hali na mali, demi it's good to see you here, mzeewakungoa unajua tunavyoangaliana kwa jicho la chati, dingimtoto , koncho77 , Transcend lazima ufuatane na Sakayo . sijamtaja nani, labda mdau wa first to reply (asante kwa kuja)

Muziki sasa, kila mmoja anajifeel love kwa namna yake kuanzia kimwili, kihisia, kiimani na kiakili. Huu ndo ubinadamu na wengine tukikatazwa kufeel love tunachukua hatua za kuonesha kuwa lazima tunachohitaji tunakipata. Love is muhimu ndo maana kupitia hili tunasamehe, tunakumbatia, na tunasonga kufurahia maisha.

Usione napenda kukupotezea time yako kwa kuchonga sana, mawazo yangu yako na wewe pamoja na bundle lako. Burudika na vibao hivi.

Na zaidi unaruhusiwa kuwa a slightly stoopid na sio totally stupido huku ukifurahia bendi nzuri ya reggae

Asante kwa burudani,kukiwa na safari ya kg mkaazime hvo viatu na mashati ww na mjomba wako mtang'aa kweli lazima BH awapokee kwa mikono miwili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom