shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Asante, soon nitakuwa hapo nyumbaniSalama pole na majukumu
Asante, soon nitakuwa hapo nyumbaniSalama pole na majukumu
Ha ha ha ha ha ha.... Siwezi kujiweka matangazo mjukuu wangu... Unajua wewe.Kweli we ni babu na kama ile avatar unayoiweka umevaa miwani ndio wewe acha niendelee kukuita babu tu
Umeaga lakini
Mimi huwa sitekwi, hata wifi yako anajuaAcha kushangaa shemela jibu kwanza ulitekwa na nani jumapili hii mkeo kashinda kapuku tu
Hajatekwa alienda kututafutia ugaliAcha kushangaa shemela jibu kwanza ulitekwa na nani jumapili hii mkeo kashinda kapuku tu
Huyo giggy ndo nani? Anyway namuachia Obe.Hapana
Mbona unapenda supuMfollow Giggy
![]()
![]()
![]()
.....
Karibu tunakusubiriAsante, soon nitakuwa hapo nyumbani
Ahahhaha kwa kuteteana nyie mtu na mkewe we mke mwee alitekwa huyo we kaa hapo hapo kaenda kututafutia ugali na jumapili yote hiiMimi huwa sitekwi, hata wifi yako anajua
Hajatekwa alienda kututafutia ugali
Nimeshaaga mda sana mke mweeUmeaga lakini
Picha ya nyumbani mkiwa na kina jj msisahau jamanAsante, soon nitakuwa hapo nyumbani
Bora atueleze.... Asitafute kujua umri... Yeye pia aeleze alitekwa au alijiteka?Acha kushangaa shemela jibu kwanza ulitekwa na nani jumapili hii mkeo kashinda kapuku tu
Hata mimi simjuiHuyo giggy ndo nani? Anyway namuachia Obe.