Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
Ile ya jamaa yupo Nyuma ya Nondo auMkushi ujue nimezoea ile avatar yako ya mwanzo
Ile ya jamaa yupo Nyuma ya Nondo auMkushi ujue nimezoea ile avatar yako ya mwanzo
Haswaaaa
Unaona eehSawa
Tatizo la nguvu za kiume liko vipi?
Ahsante mkuuView attachment 553923Kutoka Meza ya magazeti sina la ziada tukutane tena kesho,
Jumapili njema
Uko poa shem waneAsante kwa hadithi
Muwe na j2 njema na ibada njema
AminaUsijisifu kwa ajili ya kesho kwa maana hujui yakatayozaliwa na siku moja
Mwingine na akusifu wala si kinywa chako mwenyewe mtu mgeni wala si midomo yako wewe![]()
MITHALI:27:1:2
Mbarikiwe sana muwe na jumapili njema na asubuhi njema![]()
![]()
Alimpa moyo binti Mariamu akaambulia kichapo toka kwa baunsa kule bichi huyu mwingine kamuoa yakamkuta yaliyomkutaStory ya leo inasikitisha sana aisee yaan nawaza tu apa muendelezo wa kesho halaf huyu babu bubu wanawake wote sio wauaji bana wasemee wako uliokutana nao huko ndio wauaji
Baba D asante sana kwa story jaman
Hello Sakayo... Hujambo? Za kupotea?
Same to you
Hello.... Sijambo mie... Nipo sijapotea... Vipi hali yakoHello Sakayo... Hujambo? Za kupotea?
Ubarikiwe madam Sakayo
Mkushi wa kusi siku hizi Inaonekana anapiga jani siku hizi.Mkushi ujue nimezoea ile avatar yako ya mwanzo
Ile ya jamaa yupo Nyuma ya Nondo au
Nawe piaUbarikiwe madam Sakayo
Mimi niko poa... Huonekani jukwaaniHello.... Sijambo mie... Nipo sijapotea... Vipi hali yako
Mkushi wa kusi siku hizi Inaonekana anapiga jani siku hizi.
Mmea wa KondeniWe ndo ulinikaribisha umu makapukuni nitambulishe shem letu banaNdio mkuu
Nimekuwa msomaji nipatapo nafasi... Hata hivyo mie sio mkaaji ka hapo tulipotoka majukumu yamekuwa mengi mkuuMimi niko poa... Huonekani jukwaani
Mhhh... SawaNimekuwa msomaji nipatapo nafasi... Hata hivyo mie sio mkaaji ka hapo tulipotoka majukumu yamekuwa mengi mkuu